Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

15. Huzuni ya Binadamu Aliyepotoka

Mwanadamu alitembea na Mungu, katika enzi zote na nyakati,

hajui kuwa Mungu anatawala jaala ya viumbe vyote,

bila kujua jinsi Mungu anapanga vitu vyote na jinsi Anavyoelekeza vitu vyote.

Tangu zamani hadi siku ya leo,

hili ni jambo ambalo hakuna anayejua kamwe.

Sio kwa sababu njia za Mungu ni ngumu sana kupata,

ama mipango Yake bado haijafanikishwa,

lakini moyo wa mwanadamu na roho yake viko mbali sana na Mungu.

Hivyo, wakati mwanadamu anamfuata Mungu,

Anachukua mfano wa mtumishi wa Shetani.

Kamwe haoni hili.

Hakuna aliye na ari ya kutafuta nyayo za Mungu

ama kuonekana kwa Mungu.

Hakuna anayetaka kuwepo na kuishi katika ulinzi na utunzaji wa Mungu.

Lakini wanchagua kuharibiwa na Shetani na yule muovu

kubadilika na kuzoea ulimwengu huu

na kujibadili wenyewe kwa masharti ya maisha yanayofuatwa na binadamu mwovu.

Katika hatua hii, moyo na roho ya mwanadamu vinageuka kuwa zawadi ambayo mwadamu anampa Shetani.

Moyo na roho ya mwanadamu vinageuka kuwa chakula cha Shetani,

hata mahali ambapo anaishi, na uwanja wa kuchezea.

Kwa njia hii, mwanadamu bila kujua anapoteza kanuni zake za jinsi ya kuwa binadamu.

Na hajui tena thamani na kusudi la kuwepo kwake.

Sheria za Mungu na agano kati ya Mungu na mwanadamu

inapotea polepole katika moyo wa mwanadamu.

Mwanadamu hatafuti tena wala kumsikiliza Mungu,

hatafuti tena wala kumsikiliza Mungu.

Muda unavyopita, mwanadamu haelewi tena kwa nini Mungu alimuumba mwanadamu,

wala haelewi maneno kutoka kwa Mungu ama kuelewa yote yanayotoka kwa Mungu.

Mwanadamu anaanza kupinga sheria za Mungu na amri kutoka kwa Mungu;

moyo wa mwanadamu na roho ya mwanadamu,

moyo na roho ya mwanadamu inakufa ganzi. …

Mungu anampoteza mwanadamu asili Aliyemuumba,

na mwanadamu anapoteza asili ya mwanzo wake.

Hii ndiyo huzuni ya binadamu huyu.

Hii ndiyo huzuni ya binadamu huyu.

Woo … woo … woo … woo …

Hii ndiyo huzuni ya binadamu huyu, huzuni wa binadamu huyu.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Mungu Anatafuta Wale Walio na Kiu ya Kuonekana Kwake

Inayofuata:Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

  Kunayo siri kubwa moyoni mwako, ambayo hujawahi kuifahamu kamwe, kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu bila mwanga. Moyo wako na roho yako vime…

 • Utendaji (1)

  Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahit…