Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

186 Wimbo Wa Kurudi kwa Mwana Mpotevu

1

Kwa nini bado uko namna hii baada ya kumwamini Mungu kwa miaka mingi sana?

Unaposimama mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo,

unaonekana kama kwamba wewe hujali hata kidogo;

uso wako ulioharibika unaonyesha mtazamo wako usiojali,

kama kwamba umepitia udhalimu mkubwa na huna moyo wa kumfuata Mungu tena.

Wewe, mwana mpotevu aliyeanguka, unakwenda wapi, mkaidi sana?

Inaonekana kuwa unatii mipango ya Mungu na hujichagulii mwenyewe.

Unakawia katika njia panda na umepoteza “imani” uliyokuwa nayo mwanzoni.

Unaikabili kifo kwa uthabiti na kusonga mbele hadi kwenye mustakabali usio dhahiri.

2

Katika fadhaa, unaonekana kuwa na “imani kubwa”—

Mungu hatakuacha, kwa hivyo unaendelea jinsi unavyopenda.

Tamaa za kupita kiasi zinachukua nafasi ya jitihada zako za dhahania.

Umelemewa na uhasi na bado hujauondoa mwenyewe.

Dhamiri na mantiki yako vimekwenda wapi? Hata sasa bado hujaamka.

Kwa kweli huna maana na huwezi kujimudu kabisa.

Unadhani kuwa tabia yako nzuri ni takatifu na ya heshima.

Hata Mungu katika mwili ni mnyenyekevu, mtu mwovu hana heshima.

3

Msiba ni kwamba wewe hujijui hata kidogo.

Ndani ya sura yako ya nje inayovutia kuna mwovu mbaya anayejificha.

Ni kwa sababu Mungu amekukosea

au ni kwa sababu huna ukweli ndiyo kwamba unahisi aibu?

Unawezaje kuzungumza juu ya kutekeleza wajibu

wako wakatitabia yako potovu haijabadilika hata kidogo?

Hukumu ya Mungu ina athari ipi kwako kwa vyovyote vile?

Siku moja, upepo utapeperusha makapi yote,

na hilo litakapotokea, majuto yako yatakuwa yamechelewa,

na utaomboleza na kusaga meno yako.

Kwa hivyo sasa, jikaze na kufuatilia ukweli. Hiyo inakufanya mwenye hekima.

Iliyotangulia:Wewe ni Maisha Yangu ya Kweli

Inayofuata:Ninajuta Sana

Maudhui Yanayohusiana

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga. Maneno Yako ya…