82 Kutafuta kwa Ajili ya Upendo

Kutoka katika ukweli wote ulioonyesha, nimeona kuwa Wewe ni upendo.

Wewe daima ni mpendwa wangu upendezaye, natamani kuishi na Wewe.

Nataka kuanguka mikononi Mwako na kuwa msiri Wako daima.

Daima sitaki umbali kati yetu na nataka kuegemea karibu na Wewe.

Tangu niliposikia sauti Yako kwanza, singekusahau kwa maisha haya.

Sauti Yako yasikika eh nzuri sana na maneno Yako ni ni makuu na yenye nguvu.

Kila neno Unenalo ni ukweli na ndiyo ninayohitaji maishani mwangu.

Maneno Yako yameuvuta moyo wangu, nimeacha kila kitu kukufuata.

Kila Usemacho na kufanya ni upendo, yote ni ili kunitakasa na kuniokoa.

Nakufuata na kufurahia katika pendo Lako, nikikimbia mbele na kamwe kutosita.

Unastahili sana kupendwa na mwanadamu; upendo Wako ni ya kina sana kwa mwanadamu kufahamu.

Nakufuata kwa karibu sana daima, nikitafuta kwa ajili ya upendo.

Nimeelewa maneno Yako ni ukweli; nimeona tabia Yako ni ya heshima sana.

Upendo Wako mtakatifu huamsha sifa; twakusifu kwa ajili ya haki Yako.

Nimejaa upotovu na nataka kukupenda lakini siwezi kujidhibiti.

Kwa kupitia hukumu, majaribio, na usafishaji, nimeelewa nia Zako zenye fadhila.

Kila Usemacho na kufanya ni upendo, yote ni ili kunitakasa na kuniokoa.

Nakufuata na kufurahia katika pendo Lako, nikikimbia mbele na kamwe kutosita.

Unastahili sana kupendwa na mwanadamu; mapenzi Yako ni ya kina sana kwa mwanadamu kufahamu.

Nakufuata kwa karibu sana daima, nikitafuta kwa ajili ya upendo.

Upo kando yangu katika mateso yangu. Nishindwapo na ninapojikwaa,

Unanisaidia.

Unanisaidia.

Unanisaidia.

Hajawahi kuniacha, daima Umekuwepo ukinijali na kunilinda.

Unanisaidia.

Unanisaidia.

Unanisaidia.

Kila Usemacho na kufanya ni upendo, yote ni ili kunitakasa na kuniokoa.

Nakufuata na kufurahia katika pendo Lako, nikikimbia mbele na kamwe kutosita.

Unastahili sana kupendwa na mwanadamu; mapenzi Yako ni ya kina sana kwa mwanadamu kufahamu.

Nakufuata kwa karibu sana daima, nikitafuta kwa ajili ya upendo.

Iliyotangulia: 81 Ee Mungu! Siwezi Kuwa Bila Wewe

Inayofuata: 83 Upendo wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp