Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

933 Tafuta Kuwa Yule Anayemwabudu Mungu kwa Kweli

1 Kutafuta kuwa watu wanaomwabudu Mungu kwa kweli ndio mtazamo tunaopaswa kuwa nao. Kutompinga Mungu tena, kutomchukiza tena, kutomfanya Mungu kukerwa nasi na kukasirika nasi daima tena, kuufariji moyo Wake, na kuwa watu wanaomwabudu Mungu kwa kweli kama alivyofanya Ibrahimu—haya yanajumuisha mtazamo wa maisha ambao tunapaswa kuwa nao. Ukiwa na mtazamo wa aina hii na fikira ya ina hii ikikita mizizi akilini mwako, na unapotafuta kwa namna hii, utavutiwa na kushawishiwa na utajiri wa dunia, hadhi na sifa kwa kiasi kidogo.

2 Wakati kazi yako ya bidii, mazoezi, na uzoefu vinaelekea mtazamo huu, bila kutambua maneno ya Mungu yatakuwa wito ndani mwako, msingi wa kuishi kwako, maneno Yake yatakuwa maisha yako, na yatakuwa njia yako katika maisha ndani mwako. Wakati huo, mambo yote ya ulimwengu huu hayatakuwa muhimu tena kwako. Kwa hivyo, mtazamo kuhusu maisha ambao mtu anapaswa kuwa nao ni kufuatilia kuwa mtu aliye na ukweli na ubinadamu, mtu aliye na dhamiri na mantiki na humwabudu Mungu—yaani, kuwa mtu wa kweli—huku ndiko kufuatilia kunakostahili kabisa.

Umetoholewa kutoka katika “Nini Maana ya Mabadiliko Katika Tabia na Njia Kuelekea Mabadiliko Katika Tabia” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Hakuna Huduma ya Kweli Bila Ombi la Kweli

Inayofuata:Lazima Utafute Mapenzi ya Mungu Katika Vitu Vyote

Maudhui Yanayohusiana