96 Kutembea kwenye Njia Sahihi ya Maisha ya Binadamu

Maneno ya Mungu ni ukweli,

kadiri niyasomavyo zaidi,

ndivyo moyo wangu

ung’aavyo zaidi.

Maneno ya Mungu yanafichua

siri ya maisha.

Ghafla nauona

mwanga.

Yote niliyo nayo

yanatoka kwa Mungu.

Yote ni kwa neema

ya Mungu.


Namfuata Kristo,

nafuatilia ukweli na uzima;

natembea kwenye njia sahihi

ya maisha ya binadamu.

Namfuata Kristo,

naipitia kazi ya Mungu.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.


Hukumu na kufunuliwa

kwa maneno ya Mungu vyaniruhusu

nione upotovu

wa mwanadamu.

Zamani niliishi kwa ajili ya mwili

katika njia za Shetani,

nikipenda raha za dhambi,

kama mnyama.

Na nilitamani sana

umaarufu na hadhi,

nikionja uchungu

wa upotovu.

Maneno ya Mungu yaliniamsha,

na kutoka gizani

nikaona

mwanga.


Namfuata Kristo,

nafuatilia ukweli na uzima;

Natembea kwenye njia sahihi

ya maisha ya binadamu.


Namfuata Kristo,

naipitia kazi ya Mungu.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.


Kupitia hukumu ya maneno ya Mungu,

Naona upotovu wangu.

Kwa kujua ukweli unasafishwa.

Ukweli ni wa thamani namna gani!

Kwa kutenda ukweli,

kutekeleza wajibu wangu,

moyo wangu ni mtulivu

na wenye amani.

Nakuwa shahidi

katika majaribu na usafishaji.

Kwa sababu ya utunzaji

na ulinzi wa Mungu.

Kuonja kupendeza Kwake,

kupitia dhiki,

moyo wangu utampenda Mungu

milele.


Sitachanganyikiwa,

Maneno ya Mungu yataniongoza.

Hukumu Yake imeniokoa;

Moyo wangu unamsifu milele.

Namfuata Kristo,

nafuatilia ukweli na uzima;

Natembea kwenye njia sahihi

ya maisha ya binadamu.

Namfuata Kristo,

naipitia kazi ya Mungu.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.

Njia inang’aa zaidi

kadiri ninavyosonga.

Iliyotangulia: 95 Maisha ya Mwanadamu Mpya

Inayofuata: 97 Natembea Katika Njia ya Kwenda kwa Ufalme

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki