56 Rudi

1

Kabla ya kushuka Kwako, mimi, peke yangu, nililia gizani na kwa uchungu.

Kabla ya kushuka Kwako, mimi, mwenye kiburi, nilipambana katika tope la rundo la samadi.

Kabla ya kushuka Kwako, mimi, niliyeshushwa hadhi, niliomba katikati ya pepo na wanyama.

Kabla ya kushuka Kwako, nilikuwa nimeuuza moyo wangu kwa mfalme wa pepo na nilikandamizwa naye.

Nilikuwa nimekata tamaa, nikitamani sana kurudi kwa Masihi, Bwana Yesu.

Umeme ulitoka Mashariki, nikaona maneno Yako ni kuonekana kwa nuru ya kweli.

Niliisikia sauti Yako na nikarudi mbele ya kiti Chako cha enzi, nikapata maisha mapya.

2

Maneno Yako ni kama upanga mkali, yanahukumu na kufunua asili yangu ya kishetani.

Kiini Chako ni kitakatifu, ikifunua uchafu wangu usioelezeka, na sijidai tena.

Tabia Yako ni ya haki, ikiteketeza udhalimu wangu wote, kwa hivyo sipingi tena.

Hukumu Yako ni upendo, ikitakasa kabisa tabia yangu potovu.

Ee Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayetuokoa kutoka gizani ili tuishi katika nuru.

Wewe ni Kristo, Mwokozi; maneno Yako ndiyo ukweli, njia, na uzima.

Ni Wewe unayefanya kazi ili kuwaokoa wanadamu, ukituletea njia ya uzima wa milele.

Kiitikio

Maneno Yako yanatakasa upotovu wangu, yakinileta kwenye njia ya mwangaza maishani.

Ee Mwenyezi Mungu, utakatifu na haki Yako vinastahili sifa za milele za wanadamu.

Tunakuamini, kukufuata, kukushuhudia Wewe, huu ni wajibu wetu.

Ee Mwenyezi Mungu, Unamiliki kupendeza kwingi sana, tutakupenda na kukusifu daima.

Iliyotangulia: 55 Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu

Inayofuata: 57 Umo Moyoni Mwangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp