254 Toba

1

Nia nzuri, ushauri wa siku za mwisho unamwamsha mwanadamu kutoka usingizi mzito.

Fikira za uchungu, upako uliobaki unatesa dhamiri yangu.

Kwa kuchanganyikiwa, naomba kwa hofu. Mkono moyoni, nikitubu.

Wewe ni mkarimu sana, lakini nilikuhadaa na upendo wa uongo.

Roho yangu ovu haikujua majuto.

Kuishi katika dhambi, bila hofu. Bila kujali ulivyohisi Wewe.

Kutaka tu neema Yako. Katika wasiwasi na kujihurumia,

Samahani lakini siwezi kukoma. Kujidanganya ni kugumu kuficha.


2

Bila kujua kuwa Wewe ni mwaminifu na mwenye haki, kwa kunuia nikatafuta njia yangu ya kutoka.

Kazi Yako itakapokamilika, nani anayeweza kukuzuia?

Yote yanayobaki ni majonzi na majuto.

Kuishi katika dhambi, upotovu. Majuto yanajaa moyoni mwangu.

Maneno ya bidii yanasalia ndani yangu. Nachukia jinsi nimekuwa wa chini.

Mkono mtupu, nakumbana na maneno Yako. Nina aibu sana kukuona Wewe. Ee.

Iliyotangulia: 253 Ninaomba tu Kwamba Mungu Aridhike

Inayofuata: 255 Daima Natamani Sana Upendo wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

137 Nitampenda Mungu Milele

1Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako.Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na...

85 Njia Yote Pamoja na Wewe

1Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani.Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga.Maneno...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki