974 Lazima Utambue Maana ya Mateso Yako ya Sasa

1 Siku hizi, watu wengi wanaomwamini Mungu bado hawajaingia katika njia sahihi na hawajapata kuelewa ukweli, kwa hiyo bado wanahisi utupu ndani yao, na wanahisi mateso katika maisha, na hawana nguvu ya kutimiza wajibu wao. Hivi ndivyo mtu alivyo kabla ya moyo wake kuwa na maono. Mtu wa aina hii hajapata ukweli na hamjui Mungu bado, hivyo bado hahisi furaha nyingi ya ndani. Ninyi, hasa, mmepitia mateso na kupata ugumu katika kurudi nyumbani; mnateseka, na pia mna fikra za kifo na kutokuwa na radhi kuishi. Haya ni mapungufu ya mwili. Baadhi ya watu hata hufikiri kuwa ikiwa wanamwamini Mungu basi wanapaswa kuhisi ridhaa ndani yao. Leo kumwamini Mungu kunaudhi.

2 Unajua tu kuwa ridhaa ya mwili ni nzuri kupita chochote kingine. Hujui kile ambacho Mungu anafanya leo. Mungu lazima aruhusu miili yenu iteseke ili kubadilisha tabia yenu. Hata ingawa miili yenu inateseka, mna neno la Mungu na mna baraka ya Mungu. Huwezi kufariki hata ukitaka: Je, unaweza kukubali bila malalamiko kutomjua Mungu na kutopata ukweli ukifa? Sasa, hasa, ni kuwa tu bado watu hawajapata ukweli, na hawana maisha. Sasa hasa ni kuwa tu bado watu hawajapata ukweli, na hawana maisha. Sasa watu wako katikati ya mchakato wa kutafuta wokovu, hivyo lazima wayapitie baadhi ya hayo wakati huu.

3 Leo kila mtu duniani kote hujaribiwa: Mungu bado anateseka—je, ni vyema kwamba msiteseke? Bila kusafishwa kupitia maafa makubwa hakuwezi kuwa na imani halisi, na ukweli na uzima havitapatikana. Kutokuwa na majaribio na usafishaji kusingesaidia. Unaona, Petro alijaribiwa kwa miaka saba mwishowe. Aliyapitia mamia ya majaribio katika miaka hiyo saba; ni hapo tu ndipo alipata uzima na kupitia mabadiliko katika tabia yake. Hivyo, unapopata ukweli kwa kweli na kuja kumjua Mungu unahisi kuwa maisha yanapaswa kuishi kwa ajili ya Mungu. Kutoishi kwa ajili ya Mungu ni jambo la kujutia sana. Ungeishi maisha yako kwa majuto machungu na toba iliyopita kiasi.

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia: 973 Mwanadamu ni Mgumu Sana Kuokoa

Inayofuata: 975 Majaribio ya Mungu kwa Wanadamu ni ili Kuwatakasa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

132 Mradi tu Usimwache Mungu

Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za...

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki