75 Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu
1
Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja:
Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu;
mfanye Mungu awe mtakatifu na wa kuheshimiwa,
Aliye juu zaidi na chombo pekee cha kuabudiwa;
ruhusu binadamu wote waishi chini ya baraka za Mungu,
kama tu jinsi kizazi cha Abrahamu kilivyoishi chini ya ahadi ya Yehova,
kama tu jinsi uumbaji wa Mungu Adamu na Hawa uliishi katika shamba la Edeni.
2
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi makubwa yanasonga;
hakuna anayeweza kumfunga ama kusimamisha miguu Yake.
Kwa kusikiliza neno Lake pekee na kumfuata
ndiyo nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi kupokewa.
Wengine wote wataangamizwa kabisa na kupokea adhabu inayowafaa.
Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja:
Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake;
tilia maanani jaala ya binadamu;
Sote tutilie maanani jaala ya binadamu wote.
Umetoholewa kutoka katika “Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote” katika Neno Laonekana katika Mwili