Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

71. Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao,

Ukiwapa njia ya uzima wa milele.

Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.

Na Unastahili upendo wao.

Unaona afadhali Uteseke Mwenyewe, ukimruhusu mwanadamu apate faida.

Na Unanyesha uzima juu yao.

Moyo Wako kwa kweli unapendeza,

Wewe ni mwenye haki sana na Unastahili sifa ya mwanadamu.

Maneno Yako yananishinda. hukumu Yako inanitakasa mimi.

Ni Wewe pekee Unayeweza kuniokoa mimi.

Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha mimi.

Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha. Ni Wewe tu.

Upendo Wako unanibeba katika njia ya dhiki,

na ninaonja utamu.

Ukifahamu kabisa kuwa mwanadamu ni mnyonge, Wewe unaweza kuwaelewa.

Mwanadamu angewezaje kukusahau Wewe?

Unaishi na watu na kuwaongoza binafsi (binafsi),

ukiwapa kitu cha kutegemea (kitu cha kutegemea).

Unateseka kwanza, ukiwa mfano kamili.

Na upendo Wako uko kati ya mwanadamu.

Maneno Yako yananishinda. hukumu Yako inanitakasa mimi.

Ni Wewe pekee Unayeweza kuniokoa mimi.

Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha mimi.

Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.

Upendo Wako ni wa thamani. Upendo Wako unapendeza zaidi.

Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.

Ikiwa ningekuamini Wewe lakini nisikupe Wewe moyo wangu wote,

ningeishi maisha yangu nikijuta.

Ikiwa ningekuamini Wewe lakini nisiwe mwaminifu, basi ningekuwaje mwanadamu?

(Hah ... hah ... hah ... hah ...)

Maneno Yako yananishinda. hukumu Yako inanitakasa mimi.

Ni Wewe pekee Unayeweza kuniokoa mimi.

Unanipogoa na kunishugulikia, kunijaribu na kuniboresha mimi.

Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.

Upendo Wako ni wa thamani. Upendo Wako unapendeza zaidi.

Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.

Ni Wewe pekee Unayeweza kuniokoa mimi. Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.

Iliyotangulia:Kufuatilia Ukweli ili Kujiokoa Mwenyewe

Inayofuata:Toba

Maudhui Yanayohusiana