77 Mwenyezi Mungu, Anayependeza Zaidi

1

Mwenyezi Mungu, Mungu wa vitendo, Anayependeza zaidi!

Umeshuka kutoka mbinguni hadi duniani, ukiwa katika mwili.

Unaishi pamoja na mwanadamu, na hakuna aliyewahi kukujua.

Mnyenyekevu na Uliyejificha, Unanena maneno Yako, ukileta njia ya uzima wa milele.

Unapitia shida na fedheha, yote kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu.

Unayaeleza maisha Yako kwa mwanadamu waziwazi, nasi twaona jinsi unavyopendeza

Mwenyezi Mungu, Mungu wa vitendo, Anayependeza zaidi!

Duniani, Wewe ndiwe Upendezaye zaidi, tutakupenda milele.

2

Mwenyezi Mungu, Mungu wa vitendo, Anayependeka sana

Moyo Wako na upendo Wako unazidi wa yeyote duniani.

Unahukumu na kuwaadibu wanadamu, unawajaribu na kuwasafisha kwa njia za kila aina.

Kazi na maneno Yako yote ni ili kutakasa na kuokoa wanadamu.

Unatupa ukweli wote na unayaeleza mapenzi Yako waziwazi.

Hukumu Yako na upendo Wako umeshinda mioyo yetu kabisa.

Mwenyezi Mungu, Mwenye kupendeka sana!

Duniani, Wewe unapendeka sana, tutakupenda milele.

3

Mwenyezi Mungu, Mungu wa vitendo, anayependeka sana!

Kupitia hukumu Yako, upotovu wetu unatakaswa.

Tunathamini hekima na uweza Wako, na tunajua haki na utakatifu Wako.

Tunapitia upendo Wako na ni wa kweli zaidi na halisi.

Unalipia gharama kubwa sana ili kutuokoa.

Wewe ni mzuri kwa njia nyingi sana, tutakosaje kuchukia kujitenga na Wewe?

Mwenyezi Mungu, Mwenye kupendeka sana!

Duniani, Wewe unapendeka sana, tutakupenda milele.

Iliyotangulia: 76 Uhusiano na Mungu

Inayofuata: 78 Mpendwa Wetu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp