154 Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

1

Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu. Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.

Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe? Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?

Wewe ndiye Unayenipa upendo. Wewe ndiye Unayenijali.

Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati. Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.

Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga. Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.

Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana.

Usisahau kwenda na upendo wangu, pamoja na upendo wangu.

2

Bata bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi.

Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?

Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako. Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.

Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu. Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu linalokufurahisha.

Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,

kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.

Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri. Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.

Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu. Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!

Nitakupa jibu linalokufurahisha.

Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

Iliyotangulia: 153 Furaha Yetu kwa Wokovu wa Mungu

Inayofuata: 155 Mataifa Yote Njooni kwa Mwangaza Wenu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp