50 Ufalme wa Milenia U Karibu

1

Mwana wa Adamu mwenye mwili amekuja.

Mungu Mwenyezi anaonekana katika mwili, anaanza Enzi ya Ufalme kwa neno Lake, na kutoka kwa nyumba ya Mungu huanza hukumu.

2

Watu wa Mungu warudi kwenye kiti cha enzi, tunakuja kumwabudu Mfalme wa ufalme.

Hatuna imani isiyo wazi tena, kwa maana Mungu amekuja ulimwenguni kitambo.

Yerusalemu mpya umeshuka kutoka mbinguni, ulimwengu mzima unafurahia.

Mungu anaupata ufalme, Anakuja duniani, Ufalme wa Milenia u karibu, Ufalme wa Milenia u karibu.

3

Dini inateseka njaa ya kiroho, kutafuta njia ya kweli sasa kunatekelezwa.

Tumemtamani Mwana wa Adamu, tumeshindwa tunapoisikia sauti ya Mungu.

4

Tunakubali hukumu kutoka katika maneno ya Mungu, yanatusafisha na kutupa uzima mpya.

Mungu anaifanya China kuwa eneo la mfano, kuwafundisha askari kushinda.

Yerusalemu mpya umeshuka kutoka mbinguni, ulimwengu mzima unafurahia.

Mungu anaupata ufalme, Anakuja duniani, Ufalme wa Milenia u karibu, Ufalme wa Milenia u karibu.

5

Watu wa Mungu wanazishinda nguvu za giza, wanaushinda ushawishi wa Shetani.

Mungu ametengeneza kikundi kinachoshinda, Kazi Yake kubwa sasa inakamika.

6

Ghadhabu ya Mungu imefunuliwa, majanga makubwa yanakuja hapa.

Mungu atawaangamiza watu waovu, mbingu na dunia mpya zimeonekana.

Yerusalemu mpya umeshuka kutoka mbinguni, ulimwengu mzima unafurahia.

Mungu anaupata ufalme, Anakuja duniani, Ufalme wa Milenia u karibu, Ufalme wa Milenia u karibu.

Watu wa Mungu wanatakaswa kwa maneno ya Mungu, na tunaishi chini ya mwongozo wa Mungu.

Tunaongoza hadi Ufalme wa Milenia, tunafurahia baraka za ufalme.

Yerusalemu mpya umeshuka kutoka mbinguni, ulimwengu mzima unafurahia.

Mungu anaupata ufalme, Anakuja duniani, Ufalme wa Milenia u karibu, Ufalme wa Milenia u karibu.

Neno la Mungu linatimiza vitu vyote, linaonyesha Yeye ni mwenye busara na uweza.

Neno la Mungu linatawala dunia nzima, Ufalme wa Milenia umefika, Ufalme wa Milenia umefika.

Iliyotangulia: 48 Imba Sifa za Mwenyezi Mungu

Inayofuata: 51 Ufalme wa Mungu Umetimizwa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

115 Nimeuona Upendo wa Mungu

1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako,...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki