Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili

I

Mungu alikuwa mwili kwa sababu chombo cha kazi Yake

sio roho wa Shetani, wala chochote, kisicho cha mwili, bali ni mwanadamu.

Mwili wa mwanadamu ulikuwa umepotoshwa na Shetani na hivyo ukakuwa chombo cha kazi ya Mungu.

Mahali pa wokovu wa Mungu ni mwanadamu, ni mwanadamu.

Mwanadamu ni kuimbe kinachokufa, mwili na damu tu,

na Mungu pekee anaweza kumuokoa.

Lazima Mungu awe mwili, na kila kitu alicho mwanadamu,

ili kufanya kazi Yake, kupata matokeo bora zaidi.

Lazima Mungu awe mwili, kwa sababu mwanadamu ni mwili, ambaye hawezi kushinda dhambi.

Lazima Mungu awe mwili, kwa sababu mwanadamu ni mwili,

ambaye hawezi kujitoa mwenyewe kutoka kwa utumwa wa mwili.

II

Shetani ameupotosha mwili wa mwanadamu,

ambaye ameumizwa zaidi na kufanywa kipofu.

Na sababu ya kuja kwa Mungu, sababu ya kuja Kwake katika mwili

ni kwa sababu mwanadamu ni chombo cha wokovu Wake,

na Shetani anasumbua kazi ya Mungu kwa kutumia mwili, mwili wa mwanadamu, wa mwanadamu.

Mungu anapigana na Shetani kwa kumshinda mwanadamu, ilhali Anamwokoa mwanadamu katika wakati huo.

Kwa njia hii Mungu Mwenyewe lazima awe mwili,

ili Afanye kazi Yake, ili Afanye kazi Yake.

Shetani amepotosha mwili,

anaishi katika mwili wa mwanadamu na lazima Mungu amshinde.

Ili kupigana na Shetani na kuokoa mwanadamu,

Mungu lazima aje duniani na kuwa mwili. Ni kazi ya kweli.

III

Wakati Mungu anafanya kazi katika mwili Anapigana na Shetani kweli.

Kazi Yake katika ulimwengu wa kiroho inakuwa ya utendaji,

ni ya kweli duniani, ndani ya mwanadamu.

Yule ambaye Mungu anashinda ni mwanadamu mwasi,

ilhali ndani ya binadamu mwili wa Shetani unashindwa,

na hatimaye yule anayeokolewa ni mwanadamu, ni mwanadamu.

Ilikuwa muhimu kwa Mungu kuwa mwanadamu na kuvalia gamba la kiumbe,

ili kupigana na Shetani na kumshinda binadamu,

mwasi katika gamba lake la kiumbe.

Ilikuwa muhimu kwa Mungu kuwa mwanadamu na kuvalia gamba la kiumbe,

ili kumwokoa binadamu anayevalia gamba sawa la nje,

lakini ambaye ameumizwa na Shetani, ambaye ameumizwa na Shetani.

Mwanadamu ni adui wa Mungu, lazima Mungu amshinde.

Mwanadamu ni chombo cha Mungu cha wokovu; Mungu lazima avalie mwili, na kuwa mwanadamu.

Kwa njia hii kazi Yake inafanywa kuwa rahisi.

Mungu anaweza kumshinda Shetani, Mungu anaweza kushinda binadamu, Mungu anaweza kumwokoa binadamu.

kutoka katika "Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Unapotenda Ukweli Zaidi ndivyo Maendeleo Yako katika Maisha Yanakua Haraka

Inayofuata:Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Wakati wa Mwisho

Maudhui Yanayohusiana

 • Nitampenda Mungu Milele

  Ⅰ Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sa…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Ⅰ Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. Ⅱ…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, …

 • Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

  Ⅰ Nimerejea katika familia ya Mungu, nikiwa mwenye msisimko na furaha. Nina bahati ya kukujua Wewe Mwenyezi Mungu, nimekupa moyo wangu. Ingawa nimepi…