122 Mpende Mungu Uishi Katika Nuru

Dunia ni yenye giza na hatari sana,

Maneno ya Mungu katika siku za mwisho yanaonyesha mwanga wa kweli.

Kwa kula na kunywa maneno ya Mungu napata ukweli,

na naona njia ya kweli ulimwenguni.

Napitia maneno ya Mungu na kuona nuru,

Naona kuwa ukweli ni halisi kabisa.

Maneno ya Mungu ni maisha ya mwanadamu;

kupata ukweli humtukuza Mungu.

Namtii Mungu kwa roho na ukweli,

Natekeleza wajibu wangu vizuri na kushuhudia.

Kumpenda Mungu kuna maana sana,

nami nitaishi katika nuru milele.

Hukumu na kuadibu ni kwa thamani sana,

siwezi kuishi bila upogoaji na kushughulikiwa.

Majaribio na usafishaji huwafunua watu;

mabadiliko hupatikana kupitia maumivu makali.

Kutenda ukweli ndicho chanzo;

kumpenda Mungu ndiko halisi zaidi.

Moyo usiompenda Mungu wamsaliti Mungu,

upendo wa kweli kwa Mungu hupata sifa Zake.

Namtii Mungu kwa roho na ukweli,

Natekeleza wajibu wangu vizuri na kushuhudia.

Kumpenda Mungu kuna maana sana,

nami nitaishi katika nuru milele.

Tegemea imani ili kupitia majaribu,

na utegemee ukweli ili kuwa shahidi.

Ugumu na majaribio hufichua moyo wa kweli wa mtu;

bila ukweli yote yatakuwa bure.

Namtii Mungu kwa roho na ukweli,

Natekeleza wajibu wangu vizuri na kushuhudia.

Kumpenda Mungu kuna maana sana,

nami nitaishi katika nuru milele.

Iliyotangulia: 121 Mfano wa Mtu Ampendaye Mungu

Inayofuata: 123 Wale Wanaompenda Mungu Wana Furaha Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp