331 Ni Mapenzi ya Mungu kwa Wewe Kuishi Katika Mwili?

1 Sitaki kuwagombeza watu, lakini wote wanamfanyia Mungu dhihaka; wote wanajua kuchukua vijalizo vya rutubishi, lakini hawahisi hamu kwa ajili ya Mungu—na je, huku ni kumhudumia Mungu? Huku ni kumpenda Mungu? Si ajabu wao hushinda siku nzima bila kujali kitu chochote, kuhusu wavivu na watulivu. Lakini hata hivyo, watu wengine bado hawajaridhika, na wao husababisha huzuni yao wenyewe. Labda Ninakuwa mkali kidogo, lakini hili ndilo linajulikana kama kuwa mwepesi wa kuvutwa na kujipenda! Je, ni Mungu ambaye hukufanya uhisi mwenye huzuni? Je, hii si hali ya kuleta mateso juu yako mwenyewe? Je, neema yoyote ya Mungu haina sifa inayostahili kuwa chanzo cha furaha yako? Kotekote, hujakuwa mzingatifu wa mapenzi ya Mungu, na umekuwa mhasi, mdhaifu, na mwenye dhiki—mbona ni hivyo?

2 Je, ni mapenzi ya Mungu kukufanya uishi katika mwili? Hamjui mapenzi ya Mungu, msio na utulivu ndani ya mioyo yenu wenyewe, ninyi hunung’unika na kulalamika, na kushinda siku nzima mkikunja uso, na miili yenu hupata maumivu na mateso—hilo ndilo mnalostahili! Mnawaambia wengine wamsifu Mungu kati ya kuadibu, kwamba waibuke kutoka kwa kuadibu, na wasizuiwe nako—lakini ninyi mmeingia ndani yake na hamuwezi kuhepa. Inachukua miaka mingi kuiga hii “roho ya kujitoa mhanga” kama ya Dong Cunrui. Unapohubiri maneno na kanuni, huoni aibu? Je, wajijua mwenyewe? Umejiweka kando? Unampenda Mungu kweli? Umeweka kando matazamio na majaliwa yako?

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 40” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 330 Je, Umehisi Matumaini ya Mungu Kwako?

Inayofuata: 332 Kanuni Nne

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp