195 Mungu ni wa Kawaida Jinsi Usemavyo?

1 Katika hii miaka yote, ambayo watu wamekiona si Roho pekee na mwanamume, bali pia vitu vingi visivyoambatana na fikira za binadamu, na kwa hivyo hawawezi kunielewa kikamilifu kamwe. Wanashinda wakiniamini mara nyingine na mara nyingine wakiwa na shaka kunihusu, na iwapo Nipo kwa uhakika na ilhali Mimi ni ndoto ya mawazo. Ndio maana mpaka siku ya leo, watu hawatambui Mungu ni nini. Unaweza kweli kunieleza kwa sentensi moja? Unaweza kweli kusema kwa uhakika kwamba “Yesu si mwingine ila ni Mungu, na Mungu si mwingine ila Yesu”? Una ujasiri wa kusema kwamba “Mungu si mwingine bali Roho na Roho si mwingine bali ni Mungu”? Una ujasiri wa kusema kwamba “Mungu ni binadamu tu aliyevalia mwili?” Kwa kweli una ujasiri wa kusema kuwa “Taswira ya Yesu ni taswira kubwa ya Mungu?” Unaweza kuelezea kwa umakinifu tabia ya Mungu na umbo kwa uwezo wa kipawa chako cha maneno?

2 Sasa, unajua hakika Mungu ni nini? Je, Mungu ni binadamu? Je, Mungu ni Roho? Je, Mungu kwa uhakika ni wa kiume? Je, ni Yesu pekee Anayeweza kukamilisha kazi ambayo Ninataka kufanya? Ukichagua moja tu kati ya haya kujumuisha kiini Changu, basi utakuwa muumini mjinga kabisa. Nikifanya kazi kama mwili uliopatikana mara moja tu, je, unaweza kuniwekea mipaka? Je, unaweza hakika kuniangalia mara moja na ukajua yaliyo ndani Yangu? Je, unaweza hakika kunieleza kikamilifu kwa mujibu tu wa yale ambayo umeyafahamu wakati wa maisha yako? Na iwapo katika kuingia Kwangu kwa mwili mara mbili Nafanya kazi inayofanana, utanichukulia vipi? Unaweza kuniacha milele msalabani nikiwa na misumari? Je, Mungu anaweza kuwa wa kawaida jinsi unavyosema?

Umetoholewa kutoka katika “Ufahamu Wako Kumhusu Mungu Ni Upi?” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 194 Mungu Kupata Mwili ni Kitu Rahisi?

Inayofuata: 196 Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Kazi ya Mungu Katika Mwili

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp