125 Nimeuona Upendo wa Mungu

1

Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda.

Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi!

Hivyo nimekuja mbele Yako,

naam, nimekuja mbele Yako,

nikiishi maisha ya kanisa,

nikifurahia maneno Yako kila siku.

Kuwa na baraka kama hizo ni Wewe kuniinua leo!

Mwenyezi Mungu, nimeuona upendo Wako,

na ninachotaka kufanya ni kulipa upendo Wako.

Ninachotaka kufanya ni kutimiza wajibu wangu Kwako.

Nimeuona upendo Wako na nitalipa upendo Wako!

Ni yote ninayotaka kufanya.

2

Mwenyezi Mungu, Unatembea kati ya makanisa.

Umeonyesha ukweli juu ya tabia zetu potovu.

Unatupogoa na kutushughulikia,

naam, Unatupogoa na kutushughulikia:

uasi na upinzani wetu wote.

Unahukumu mawazo yetu yote

na fikira zetu zote ili kututakasa.

Mwenyezi Mungu, nimeuona upendo Wako,

na ninachotaka kufanya ni kulipa upendo Wako.

Ninachotaka kufanya ni kutimiza wajibu wangu Kwako.

Nimeuona upendo Wako na nitalipa upendo Wako!

Ni yote ninayotaka kufanya.

Mwenyezi Mungu, Umetuokoa.

Unanena maneno kila siku ili kuturuzuku na kutunyunyizia.

Kupitia shida na mateso yangu,

shida na mateso yangu yote,

Maneno Yako yamekuwa ubavuni mwangu kila wakati.

Kwa kuishi ndani ya maneno Yako,

Nimekua maishani mwangu.

Mwenyezi Mungu, nimeuona upendo Wako,

na ninachotaka kufanya ni kulipa upendo Wako.

Ninachotaka kufanya ni kutimiza wajibu wangu Kwako.

Nimeuona upendo Wako na nitalipa upendo Wako!

Ni yote ninayotaka kufanya.

Iliyotangulia: 124 Mungu Huwabariki Wale Wampendao

Inayofuata: 126 Wale Wampendao Mungu Wanaishi Katika Nuru

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp