Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

39. Natamani Kuona Siku Ambayo Mungu Atapata Utukufu

Leo kwa sababu ya Mungu, pitia ugumu; kesho rithi baraka ya Mungu.

Kwa kusudi la kuona siku ambayo Mungu atapata utukufu,

Naweza kuacha ujana wangu na maisha yangu.

Ee! Upendo wa Mungu, unavutia moyo wangu.

Nahisi ugumu kumuacha Yeye. Nahisi ugumu kuwa mbali na Yeye.

Nitakunywa kikombe cha uchungu.

Afadhali niishi maisha yangu kwa uchungu.

Kuaibishwa ama kukosewa,

Nitalipa upendo wa Mungu maisha yangu yote.

Nimpe Mungu yaliyo matamu, nijiachie yaliyo machungu zaidi.

Nimeamua kutoa ushuhuda kwa Mungu. Hakuna kinachoweza kubadilisha moyo wangu.

Kwa Shetani, kamwe sitajinyenyekeza.

Afadhali nitoe maisha yangu.

Nitaweka maadili yangu kama mmoja wa watu wa Mungu.

Na kusihi kwa Mungu akilini, nitamwaibisha Shetani mzee.

Na machozi moyoni mwangu, nachagua kuvumilia aibu.

Sitaki Mungu awe na wasiwasi tena. Sitaki Mungu awe na wasiwasi tena.

Upendo wa Mungu unatia msukumo shauku moyoni mwangu,

unanipa nguvu kubwa kufuata Mungu.

Sitarudi nyuma kamwe. Sitajuta kamwe.

Niko tayari kusafishwa na kutakaswa.

Nisifu Mungu hadi kutosheka kwa moyo wangu. Niimbe nyimbo mpya na kucheza ngoma mpya.

Nitoe upendo wangu wa ndani kwa Mungu. Nimpe Mungu moyo wangu wa kweli.

Moyo wangu umemshika Mungu.

Mungu atakapo pata utukufu, tutacheza tukizunguka kiti Chake cha enzi.

Na kupumzika milele, katika mbingu na nchi mpya.

Nisifu Mungu hadi kutosheka kwa moyo wangu. Niimbe nyimbo mpya na kucheza ngoma mpya.

Nitoe upendo wangu wa ndani kwa Mungu. Nimpe Mungu moyo wangu wa kweli.

Moyo wangu umemshika Mungu.

Mungu atakapo pata utukufu, tutacheza tukizunguka kiti Chake cha enzi.

Na kupumzika milele, katika mbingu na nchi mpya.

Iliyotangulia:Kutembea Katika Njia ya Kumpenda Mungu

Inayofuata:Nimeona Uzuri wa Mungu

Maudhui Yanayohusiana