Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

55. Nitampenda Mungu Milele

Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.

Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.

Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.

Mara nyingi nilitoa machozi na kuhisi majuto moyoni,

na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.

Lakini hujaniacha kamwe.

Uliniongoza kupita katika taabu nyingi, Ukanilinda katika hatari nyingi.

Sasa najua kuwa Umenipenda.

Ee Mungu! Unaniongoza katika maisha mapya.

Nikifurahia maneno Yako, nimeelewa mapenzi Yako.

Maneno Yako yananihukumu na kuniadibu, na kutakasa upotovu wangu.

Kupitia majaribu nimejifunza kukutii Wewe.

Kukua katika neno la Mungu, nimekuja kumjua Mungu.

Niko tayari kufanya wajibu wangu kwa ushahidi Wako na utukufu.

Nitakupenda Wewe kwa wakati wote.

Ikiwa nitabarikiwa ama kulaaniwa, nitafurahia kuwa chini ya huruma Yako.

Nitakupa upendo wa kweli, na sitakufanya Ungoje.

Nitakupa upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu.

Nitakupa upendo wangu wote, na Wewe upate upendo wangu.

Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha ni tamanio langu.

Iliyotangulia:Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Inayofuata:Hatimaye Naweza Kumpenda Mungu