256 Jinsi ya Kurudisha Wokovu Uliopotea

1

Uliniuliza naweza kukufuata kwa muda gani.

Nitakupa ujana na niwe na Wewe maisha yangu yote.

Minong’ono ilitoka ndani katika moyo wangu, ikitingiza dunia na milima.

Wakati mmoja niliahidi upendo wangu Kwako nikiwa na machozi, lakini sikujua unafiki wangu.

Miaka mingi ya mabadiliko imeupunguza upendo wangu, ahadi yangu ikibadilika kuwa uongo.

Nimejua nilitoa kidogo sana, na nikakulipiza tu na maneno mdomoni mwangu.

Kuamshwa kutoka ndotoni nahisi hofu kwa ajili yangu mwenyewe.

Jinsi ya kurudisha wokovu uliopotea?

Kuamshwa kutoka ndotoni nahisi hofu kwa ajili yangu mwenyewe.

Jinsi ya kurudisha wokovu uliopotea?

2

Nilikuwa muasi nikikutana na Wewe; ni huzuni sana kukumbuka zamani.

Kujitolea bila uaminifu kuliniletea maombolezo zaidi.

Mdogo na mpumbavu, nilikupa wasiwasi sana,

lakini sikuwa na shukrani kwa neema Yako.

Nimepoteza mengi na kupata kidogo sana katika miaka hizi.

Naweza kumwambia nani jinsi ninavyojuta?

Nimejua nilitoa kidogo sana, na nikakulipiza tu na maneno mdomoni mwangu.

Kuamshwa kutoka ndotoni nahisi hofu kwa ajili yangu mwenyewe.

Jinsi ya kurudisha wokovu uliopotea?

Kuamshwa kutoka ndotoni nahisi hofu kwa ajili yangu mwenyewe.

Jinsi ya kurudisha wokovu uliopotea?

3

Kuja na kwenda kwa haraka,

sijawahi kuwa moyo kwa moyo na Wewe.

Nilikutana na Wewe kwa bahati na nikakosa kukujua Wewe,

ikiacha majuto zaidi ndani ya moyo wangu.

Iliyotangulia: 255 Daima Natamani Sana Upendo wa Mungu

Inayofuata: 257 Moyo wa Mungu Haujaliwazwa Bado

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp