654 Jinsi ya Kukubali Ukweli

Iwapo ungependa kusafishwa kutokana na upotovu na kupitia mabadiliko ya tabia maishani mwako basi unahitaji kuupenda ukweli na uwezo wa kuukubali ukweli. Inaamanisha nini kuukubali ukweli? Kukubali ukweli kunaashiria kwamba bila kujali aina ya tabia potovu unayo au ni sumu gani ya joka kuu jekundu imeingia ndani ya asili yako, unakiri unapofichuliwa na manenoya Mungu na kulitii maneno haya; unayakubali bila kupinga, bila kutoa sababu za kutotii au kufanya chaguo, na unakuja kujijua mwenyewe kwa mujibu wa yale Amesema. Hivi ndivyo inavyomaanisha kukubali neno la Mungu. Bila kujali kile ambacho Amesema, bila kujali kiasi ambacho matamshi Yake yanaweza kuuchoma moyo wako, na bila kujali maneno Anayotumia, unaweza kulikubali mradi uwe ukweli, unaweza kuyakubali mradi yanapatana na uhalisi. Unaweza kuyatii maneno ya Mungu bila kujali unayaelewa kwa kina kiasi gani, na ukubali na kutii mwanga ambao unafichuliwa na Roho Mtakatifu ambao unashirikiwa ba ndugu na dada. Wakati mtu wa aina hii amefuata ukweli hadi kiwango fulanianaweza kupata ukweli na kufikia kubadilishwa kwa tabia yake.

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 653 Jinsi ya Kukubali Hukumu ya Maneno ya Mungu

Inayofuata: 655 Kile Anachokamilisha Mungu ni Imani

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp