436 Moyo Wako Umemrudia Mungu?

Moyo wa mwanadamu unaomgeukia Mungu ni ule unaoweza kujielekeza kwa Mungu kila wakati, moyo unaoweza kuukana mwili, na moyo unaoweza kutafakari kuhusu Mungu; katika mienendo na mazungumzo, katika kila tabia yao, watu kama hao wanaweza kumridhisha Mungu ambaye wanampenda, na mioyo yao daima hubeba mzigo kwa ajili ya mapenzi ya Mungu. Hii inamaanisha wamempa Mungu mioyo yao. Wakati ambapo mawazo na fikira zako si sawa, unaweza kuacha nia yako mwenyewe, ili utende kulingana na mapenzi ya Mungu badala yake. Kadiri unavyozidi kupitia kwa njia hii, ndivyo moyo wako utakavyoweza kumgeukia Mungu, na ndivyo utakavyoweza kumridhisha na kumpenda Mungu. Majaribio yanapokuja, bado unaweza kumpenda Mungu; iwe unakabiliwa na kifungo, ugonjwa, dhihaka, au kashfa kutoka kwa wengine, au inaonekana huna suluhu, bado unaweza kumpenda Mungu. Hii inamaanisha kwamba moyo wako umemgeukia Mungu.

Umetoholewa kutoka kwa ushirika wa Mungu

Iliyotangulia: 435 Toa Moyo Wako Mbele za Mungu Ikiwa Wamwamini

Inayofuata: 437 Geuza Moyo Wako kwa Mungu Kikamilifu ili Kuweza Kumpenda

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp