241 Upendo wa Mungu Daima Unabaki Moyoni Mwangu

1

Katika safari yangu ya kumfuata Mungu, nimefurahia mapenzi Yake yote.

Maneno Yake na mahitaji Yake yote ni ulinzi na upendo Wake.

Katika wakati wangu wa udhaifu mkuu na majonzi, maneno ya Mungu yananitia moyo kutafuta ukweli.

Kwa wakati wote ambao nimedhalilishwa, maneno Yake yananitia moyo kumpenda Yeye daima.

(Mungu) Upendo Wako ni mkarimu na wa thamani.

Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina sasa.

(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.

(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.

2

Upendo wa Mungu kwa mwanadamu ni wazi na halisi.

Hukumu Yake na majaribu Yake yanalenga kunitakasa na kunikamilisha.

Usafishaji Wake unanisaidia kukua.

Mungu alipitia shida kubwa kuniongoza, kukaa daima upande wangu.

Nimelalamika na kumuelewa visivyo, na Amevumilia nyakati hizo.

(Mungu) Upendo Wako ni mkarimu na wa thamani.

Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina sasa.

(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.

(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.

3

Upendo wa Mungu usiokuwa na ubinafsi umebadilishwa, umebadilishwa kwa wokovu wangu.

Ukweli uliowekwa na Mungu ulinifanya kuwa na maisha ya kweli.

Ni hukumu, kuadibu na majaribu ya Mungu ambavyo vimenitakasa.

Maneno ya Mungu ni ukweli na yamekuwa uzima wangu.

Maneno ya Mungu ndiyo tegemeo langu na siwezi kuyaacha hata kidogo.

Ee! Mwenyezi Mungu, upendo wako unabaki moyoni mwangu.

Ee! Mwenyezi Mungu, nitakupenda milele.

4

Bila kujali nimepotoshwa kwa kiasi gani au jinsi gani ninaweza kuwa mgumu,

Mungu daima ni mvumilivu sana, daima Ananilisha na kuninywesha.

Katika mateso, vipingamizi na upungufu.

Maneno ya Mungu yamenitia moyo kuendelea.

Upendo Wake ni mzuri zaidi na wa kweli. Milele nitaweza kuzungumza hivi.

(Mungu) Upendo Wako ni mkarimu na wa thamani.

Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina sasa.

(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.

(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.

Iliyotangulia: 240 Upendo wa Mungu Waniruhusu Kupata Wokovu

Inayofuata: 242 Nimefurahia Upendo Mwingi wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp