296 Hakuna Moyo Ulio Bora Kuliko wa Mungu

1

Nimechagua kumpenda Mungu, nitatii chochote atakachochukua Yeye.

Sitoi neno lolote la ulalamishi, licha ya uchungu.

Akiwa na tabia potovu, mwanadamu anastahili hukumu na kuadibiwa.

Neno la Mungu ndilo ukweli, sifai kukosea mapenzi ya Mungu.

Katika kujitafakari mimi mara nyingi hupata uchafu mwingi sana.

Nisipojitahidi, siwezi kukamilishwa.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri. Hakuna Moyo Ulio Bora Kuliko wa Mungu

2

Kuishi na Mungu siku baada ya siku, naona jinsi Anavyopendeza.

Kupitia ufichuzi na hukumu ya maneno ya Mungu, naona ukweli wa upotovu wangu.

Nakubali kutafuta kwa Mungu, nahisi jinsi ninavyopungukiwa.

Nafungua moyo wangu kwa ushirika, ukweli unakuwa wazi zaidi.

Natetemeka kwa fikira ya kuikosea tabia Yake.

Nitakuwa mwangalifu nisiasi, kumsababisha Asikie uchungu.

Ingawa nachagua kumpenda Mungu, pendo langu limetiwa uchafu na maoni yangu mwenyewe.

Lazima nitie bidii kuendelea ili kufikia mahali ambapo Petro alikuwa amefika.

Bila kujali anavyofikiria kuhusu upendo wangu,

Tamanio langu la kipekee ni kumfurahisha Mungu.

Ingawa taabu ni nyingi, ni baraka kuwa na upendo wa Mungu.

Taabu ilinifunza kutii; Mungu ana nzuri, nia nzuri.

Iliyotangulia: 295 Kutafuta Wandani

Inayofuata: 297 Kilio kwa Dunia ya Mikasa

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp