262 Napata Mengi Sana Kutoka kwa Hukumu na Kuadibu kwa Mungu

1

Mungu, wakati Unanitendea wema

ninapata furaha, na kuhisi faraja;

wakati unaniadibu,

najisikia faraja kubwa zaidi na furaha.

Ingawa mimi ni mdhaifu, na kuvumilia mateso yasiyotajika,

ingawa kuna machozi na huzuni,

Unajua kwamba huzuni huu ni

kwa sababu ya kutotii kwangu, na kwa sababu ya udhaifu wangu.

Mimi ninalia kwa sababu siwezi kukidhi hamu Yako,

nahisi huzuni na majuto

kwa sababu mimi sitoshi kwa mahitaji Yako,

lakini niko tayari kufikia ulimwengu huu, niko tayari kufanya yote niwezayo ili nikuridhishe.

Adabu Yako imeniletea ulinzi,

na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

2

Leo, naona zaidi kwamba upendo wako

umepita mipaka ya mbinguni na kuwa bora ya yote.

Upendo wako sio tu huruma na fadhili;

hata zaidi ya hayo, ni adabu na hukumu.

Adabu Yako na hukumu imenipa mengi.

Bila adabu Yako na hukumu, hakuna hata mmoja angetakaswa,

na hakuna hata mmoja angeweza kupata upendo wa Muumba.

Adabu Yako imeniletea ulinzi,

na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Adabu Yako imeniletea ulinzi,

na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Iliyotangulia: 261 Natamani Kutoa Maisha Yangu Yote kwa Mungu

Inayofuata: 263 Niliona Upendo wa Mungu katika Kuadibu na Hukumu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp