595 Kutimiza Wajibu Wako Tu Ndiko Kunaweza Kumridhisha Mungu

Siku hizi hupaswi kuzingatia mambo hasi. Lazima kwanza uweke kando na kutojali kila kitu ambacho kinaweza kukufanya usihisi hasi. Unaposhughulikia mambo lazima udumishe moyo wa kutafuta na kupapasa papasa, na lazima udumishe moyo wa utii kwa Mungu. Wakati wowote mnapogundua udhaifu wowote ndani yenu, lakini hamko chini ya udhibiti wake na mnatenda kazi ambayo mnapaswa kutenda, hii ni hatua ya hakika kwenda mbele. Kwa mfano: Ndugu wana mawazo ya kidini, lakini unaweza kuomba, na unaweza kutii, kula na kunywa neno la Mungu, na kuimba nyimbo.... Kwa neno moja, chochote unachoweza kufanya, kazi yoyote unayoweza kutenda, jitolee kikamilifu kwa nguvu zote unazoweza kuzitumia. Usisubiri kwa kukaa tu. Kuweza kutimiza wajibu wako kwa ridhaa ya Mungu ni hatua ya kwanza. Kisha unapoweza kuuelewa ukweli na kuingia katika ukweli wa neno la Mungu, utakuwa umekamilishwa na Mungu.

Umetoholewa kutoka katika “Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 594 Mungu Atawapuuza Wale Wanaokosa Kutenda Wajibu Wao

Inayofuata: 596 Lazima Utende Wajibu Wako

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp