160 Mfuate Mungu kwa Karibu

1

Usiku ni wa kina na kimya; nje, mbwa wanabwekana ving’ora vinalia.

Moyoni mwangu nina woga; naweza kukamatwa na kufungwa gerezani wakati wowote.

Natoroka nyumbani mwangu, nisijue ninakoweza kupata makazi.

Bila haki za binadamu, napitia mateso na mashaka makubwa.

Katika ngome hii ya mapepo, Shetani anashikilia mamlaka; kuna giza mno.

Mwangaza na ukweli vimepigwa marufuku kati ya wanadamu.

Joka kuu jekundu linatarajia bure kumdhibiti mwanadamu milele,

likiwazuia watu wasimwabudu Mungu wa kweli na kutembelea njia ya kweli.

Nachukia kwamba “uhuru wa imani” ni uongo mtupu.

Natumai kwamba ufalme wa Kristo utakuja hivi karibuni.

2

Katika usiku wa giza, maneno ya Mungu hutuongoza, hatua kwa hatua.

Katika taabu ya mateso, imani yetu inakamilishwa.

Katika usafishaji, tabia zetu potovu zinatakaswa.

Katika dhiki kuu, kikundi cha washindi kinafanyizwa.

Watu wa Mungu wanamfuata Mungu, wakijua kile cha kupenda na cha kuchukia.

Wasioamini wanathamini tu maisha na kuuacha ukweli.

Waoga, wamepoteza tabia na heshima yao.

Wale wanaompenda Mungu wanatoa maisha yao ili kupata ukweli.

Joka kubwa jekundu ni chombo cha kumtumikia Mungu tu.

Ingawa ni katili, hatimaye litaangamizwa na Mungu.


Maneno ya Mungu yako nami katika mashaka;

kwa kufikiria neema ya Mungu, namhisi Akipendeza hata zaidi.

Kuteswa kwa sababu ya haki kwenye njia ya mabonde,

kuna utamu katikati ya uchungu, na nahisi mwenye kupendeza.

Naamini kuwa Kristo ni ukweli, njia, na uzima,

na naapa maisha yangu kuwa mwaminifu na kumfuata kwa karibu.

Iliyotangulia: 159 Umo Moyoni Mwangu

Inayofuata: 162 Wakati wa Kuachana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

273 Upendo Safi Bila Dosari

1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au...

115 Nimeuona Upendo wa Mungu

1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako,...

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki