19 Mandhari ya Ufalme ni Kama Mapya Daima

1

Mwangaza wa asubuhi unang’aa kutoka Mashariki,

Mwokozi amerudi kati yetu.

Vitu vyote vina dalili mpya ya maisha,

maisha ya ufalme yameanza.

2

Alfajiri imewadia, nuru inaenea mbele ya macho yetu,

milenia za tumaini zinatimia.

Siku za uchungu haziko nami tena,

sipo tena katika nyakati hizo mbaya.

Maneno ya Mungu yanavyoilisha mioyo yetu,

maisha yetu yanapata riziki.

Tunahisi kubarikiwa na wenye furaha.

Bahati nzuri ya kizazi chetu

ni kurudi kwa Mungu.

Ni upendo mkuu wa Mungu.

Nani asingetamani kuingia

katika maisha ya Enzi ya Ufalme?

Nani asingeyatamani?

Nani asingeyatamani?

Kupitia hukumu ya Mungu

tumeshindwa,

na tumeokolewa na Mungu.

Kwa kweli tunamshukuru na kumsifu.

Tunamsifu na tunashukuru.

3

Maua yanachanua, yakitapakaza manukato, vipozamataza waimba,

Watu wa Mungu wanahubiri Mwana wa Adamu.

Tunashuhudia kuja Kwake,

na kila mmoja wetu anatoa maoni yake.

4

Tunaomba kwa bidii na kuimba kwa sauti kubwa.

Tunaanguka kando ya kiti cha Mungu

na kumsifu tukipiga magoti.

Acha tusherehekee pamoja,

ndugu walio ng’ambo ya bahari.

Maneno ya Mungu yanavyoilisha mioyo yetu,

maisha yetu yanapata riziki.

Tunahisi kubarikiwa na wenye furaha.

Bahati nzuri ya kizazi chetu

ni kurudi kwa Mungu.

Ni upendo mkuu wa Mungu.

Nani asingetamani kuingia

katika maisha ya Enzi ya Ufalme?

Nani asingeyatamani?

Nani asingeyatamani?

Kupitia hukumu ya Mungu

tumeshindwa,

na tumeokolewa na Mungu.

Kwa kweli tunamshukuru na kumsifu.

Tunamsifu.…

Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho,

anaonekana katika mwili kufanya kazi Yake.

Anaonyesha ukweli kumhukumu mwanadamu,

Maneno Yake huwatakasa na kuwakamilisha watu.

Nani asingetamani kuingia

katika maisha ya Enzi ya Ufalme?

Nani asingeyatamani?

Nani asingeyatamani?

Kupitia hukumu ya Mungu

tumeshindwa,

na tumeokolewa na Mungu.

Kwa kweli tunamshukuru na kumsifu.

Tunamsifu na tunashukuru.

Tunamsifu na tunashukuru.

Kuendelea kwa nguvu zetu zote,

tunapambana kwa uweza wetu wote.

Twafanya wajibu wetu kwa uaminifu

kufanya mapenzi ya Mungu yaridhishwe.

Kwa roho ya Petro,

kwa azimio lisilokata tamaa,

tunaishi maisha ya kweli ya wanadamu,

tunafanya bidii kutenda mapenzi ya Mungu.

Iliyotangulia: 18 Wito wa Tarumbeta ya Hukumu Umesikika

Inayofuata: 20 Ufalme wa Milenia U Karibu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp