Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

970 Kupitia Upogoaji na Ushughulikiwaji ni kwa Maana Sana

1 Watu wengine wanakuwa wa kutoonyesha hisia baada ya kupogolewa na kushughulikiwa; wanapoteza nguvu katika kutekeleza wajibu wao, na wanaishia kupoteza uaminifu wao. Kwa nini hivi? Kwa kiasi ni kwa ajili ya kukosa kwao ufahamu kuhusu kiini cha matendo yao, na hili hupelekea ukosefu wa usikivu katika kupogolewa na kushughulikiwa. Hii inaamuliwa na asili yao yenye kiburi na majivuno, na asili yao ya kutopenda ukweli. Pia kwa kiasi ni kwa ajili ya kutoelewa kwao umuhimu wa kupogolewa na kushughulikiwa, na kuamini kwamba linaamua matokeo yao. Kwa sababu hiyo, watu huamini kuwa wakiacha familia zao, wakijitumia kwa ajili ya Mungu na kuwa na uaminifu fulani Kwake, basi hawafai kushughulikiwa na kupogolewa; na kwamba wakishughulikiwa, basi hayo si mapenzi na haki ya Mungu.

2 Mbona hawakubali kupogolewa na kushughulikiwa? Kuyaweka waziwazi, yote ni kwa sababu watu ni wenye kiburi, majivuno na unafiki sana, na hawaupendi ukweli; ni kwa sababu ni waongo sana—na hawataki kupitia ugumu lakiniwanataka tu kupata baraka kwa njia rahisi. Watu hawana ufahamu wa tabia ya haki ya Mungu hata kidogo. Ni tu kwamba watu daima hawaamini kwamba kila kitu Afanyacho Mungu ni haki. Machoni pa wanadamu, kama kazi ya Mungu haipatani na mapenzi ya wanadamu ama kama hailingani na matarajio yao, basi lazima Yeye si mwenye haki. Watu kamwe hawatambui kwamba matendo yao hayaambatani na ukweli, na kwamba wanampinga Mungu. Kama Mungu hangewashughulikia ama kuwapogoa watu kwa ajili ya dhambi zao na wala kuwakaripia kwa sababu ya makosa yao, lakini daima angekuwa mtulivu, kamwe bila kuwakasirisha, daima bila kuwakosea, na daima bila kufunua makovu yao, lakini angewakubalia kula na kuwa na wakati mzuri na Yeye, basi watu hawangelalamika kuwa Mungu sio mwenye haki. Wangesema kuwa Mungu ni mwenye haki kwa unafiki.

3 Machoni pa wanadamu, kama kazi ya Mungu haipatani na mapenzi ya wanadamu ama kama hailingani na matarajio yao, basi lazima Yeye si mwenye haki. Watu kamwe hawatambui kwamba matendo yao hayaambatani na ukweli, na kwamba wanampinga Mungu. Kwa hivyo, watu bado hawaamini kuwa kile ambacho Mungu Anahitaji ni utendaji wao baada ya kubadilishwa kwao. Je, Mungu angekuwa vipi na uhakika kama wangeendelea na hayo? Kama Mungu angewasuta watu kidogo, hawangeamini tena kuwa Yeye huona utendaji wao baada ya mabadiliko. Wangeacha kuamini kuwa Yeye ni mwenye haki, na hawangekuwa na radhi kubadilishwa. Kama watu wangeendelea na hali hii, wangehadaiwa na mawazo yao wenyewe.

Umetoholewa kutoka katika “Maana Ndani ya Mungu Kuamua Matokeo ya Watu Kupitia Utendaji Wao” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

Iliyotangulia:Jinsi ya Kukubali Hukumu ya Maneno ya Mungu

Inayofuata:Jinsi ya Kukubali Ukweli

Maudhui Yanayohusiana

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Njia Yote Pamoja na Wewe

  1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga. Maneno Yako ya…