234 Kuwa Mtu Mpya na Uuliwaze Moyo wa Mungu

1 Nimepotoshwa kwa kina na Shetani, kiburi kilichoje ndani yangu. Najionyesha katika kazi yangu na mahubiri yangu, nafikiria kwamba mimi ni hodari. Mimi najidai sana, najiona mkuu sana! Sina mfanano wa binadamu. Zaidi ya kudharau, mimi ni mdogo. Binadamu wamepotea. Ninajifanya kuwa halisi. Je, utakosaje kuhuzunika? Umeung’amua moyo wangu. Maneno Yako yameifunua aibu yangu. Nikiwa na aibu kuuona uso Wako. Ni vigumu kusema kile kinachoumiza. Nimekufuata kwa muda mrefu, bila kujali moyo Wako. Nikijihami kwa maneno ya mafundisho, tabia haijabadilika. Maneno Yako yamefanya mambo yawe wazi. Ni mimi nisiyetafuta.

2 Kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno Yako, hatimaye nimeamshwa. Kwako siwezi kuasi. Dhamiri yangu lazima iwe nyoofu. Kwa ajili ya kuwaokoa wanadamu, Umejinyenyekeza ili uwe mwili. Mimi ni mchafu na duni, nina heshima gani? Kupitia kiburi nimepoteza ubinadamu na mantiki yangu, sistahili kabisa kuitwa binadamu. Maneno Yako yanaathiri moyo Wangu. Maneno Yako yananitia moyo, kamwe sitatafuta tena umaarufu au faida. Naomba tu nitimize wajibu wangu ili kulipa upendo Wako. Nitajitumia kwa ajili Yako, niwe mwanadamu mpya kuufariji moyo Wako. Nitatenda ukweli, niishi kulingana na maneno Yako, nitembee katika njia ing’aayo ya maisha.

Iliyotangulia: 233 Thamini Sana Nyakati za Mwisho

Inayofuata: 235 Kutubu na Kuanza Upya

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp