Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

286 Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

1

Niliisikia sauti Yako na nilifurahia kukutana na Wewe.

Nimefurahia utajiri wa maneno Yako.

Moyo Wako hakika ni mzuri sana, upendo Wako unanivutia.

Kile Ulicho nacho na kile Ulicho, ni vya thamani sana kwangu.

Siwezi kuelezea, hakuna maneno:

Jinsi gani anavyopendeza Mwenyezi Mungu!

Upendo Wako ni mwenzi wangu.

Mwongozo na ruzuku ya maneno Yako vimeniruhusu kukua katika maisha polepole.

Unasafisha na kunitakasa.

Katika kuteseka hukumu, ninaonja utamu ulio ndani.

2

Nikiwa nimepitia dhiki, nimeshikana na Wewe zaidi.

Ni hukumu na kuadibu Kwako ambavyo hutakasa upotovu wangu.

Kupitia ugumu na usafishaji nimejifunza kutii.

Sio tena baridi au mwasi, sasa ninajua mapenzi Yako.

Neno Lako tu ndilo ukweli na linaweza kumpa mwanadamu uzima.

Moyo Wako ndio mwema kuliko yote, Unatoa Chako chote kumwokoa mwanadamu.

Katika upendo Wako wa kweli kwangu, siwezi kusema yote yaliyo moyoni mwangu.

Nikiwa nimetakaswa, mimi ni Wako, nami nitakupenda milele!

Siwezi kusema yote yaliyo moyoni mwangu, naweza kusema kuhusu upendo Wako bila kukoma.

Nataka kutekeleza wajibu wangu na kukushuhudia, nitakupenda milele.

Iliyotangulia:Hakuna Moyo Ulio Bora Kuliko wa Mungu

Inayofuata:Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

 • Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

  1 Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema…

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

  1 Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safar…