487 Mtu Hawezi Kufuatilia Uzima Bila Neno la Mungu

Katika kutafuta maisha, lazima utilie maanani vitu viwili vya msingi: 1) kuelewa ukweli ndani ya neno la Mungu, na 2) kujielewa mwenyewe ndani ya neno la Mungu. Vitu hivi viwili ni muhimu sana. Hakuna maisha ama ukweli nje ya neno la Mungu. Usipotafuta ukweli ndani ya neno la Mungu, basi ni wapi kwingine utatafuta? Ni wapi kuna ukweli duniani? Je, vitabu vyote vilivyochapishwa duniani sio nadharia ya ibilisi Shetani? Je, ukweli wowote wa kuzungumziwa upo wapi? Kitu cha maana zaidi katika kuelewa ukweli katika neno la Mungu ni pamoja na kumwelewa Mungu katika neno Lake, uelewa wa maisha ya mwanadamu katika neno Lake na uelewa wa vipengele vyote vya ukweli katika neno Lake. Kwa mfano, uelewa wa kweli wa mtu mwenyewe na kugundua maana ya uwepo wa mwanadamu katika neno la Mungu.... Ukweli wote uko katika neno la Mungu. Huwezi kuingia katika ukweli isipokuwa ifanyike kupitia katika neno la Mungu. Tokeo kuu ambalo lazima ufikie ni kujua uelewa wa kweli wa neno la Mungu ni nini. Na uelewa wa kweli wa neno la Mungu unaweza basi kuuelewa ukweli: Hiki ni kitu cha maana sana.

Umetoholewa kutoka katika “Ni Kwa Kufuatilia Ukweli Tu Ndiyo Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako” katika Kumbukumbu za Hotuba za Kristo

Iliyotangulia: 486 Kujiandaa na Maneno ya Mungu ni Kipaumbele Chako cha Juu

Inayofuata: 488 Jinsi ya Kuingia Katika Uhalisi wa Maneno ya Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp