Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

227 Siwezi Kumudu Bila Hukumu na Kuadibu kwa Mungu

1

Kama si kwa hukumu Yake, mimi singeweza kumpenda Mungu,

bado ningeishi chini ya himaya ya Shetani,

bado ningedhibitiwa nayo, na ningekuwa naamuriwa nayo.

Kama ingekuwa vile, singewahi kuwa binadamu wa kweli,

kwa maana singeweza kumtosheleza Mungu,

na singejitoa kikamilifu kwa Mungu.

2

Japokuwa Mungu Hanibariki, na kuniacha bila faraja ndani yangu,

kana kwamba moto mkuu unachoma ndani yangu,

na hakuna amani au furaha, na hata ingawa adabu na nidhamu ya Mungu kamwe iko na mimi,

katika adabu ya Mungu na hukumu ninao uwezo wa kuona tabia Yake ya haki.

Mimi hupata furaha katika hili; hakuna kitu cha thamani zaidi au cha maana zaidi ya hili katika maisha.

Ni adabu ya Mungu na hukumu Yake ndiyo iliyoniokoa,

na maisha yangu hayawezi kutengwa kutoka kwenye adabu na hukumu ya Mungu.

3

Ingawa ulinzi Wake na huduma vimekuwa adabu kali, hukumu,

laana na mipigo, bado mimi hupata starehe katika mambo haya,

kwani yanaweza kunitakasa bora zaidi na kunibadilisha, yanaweza kunileta karibu na Mungu zaidi,

yanaweza kufanya niweze kumpenda Mungu zaidi, na yanaweza kufanya upendo wangu kwa Mungu uwe safi zaidi.

Hii inanifanya niwe na uwezo wa kutimiza wajibu wangu kama kiumbe, na inanichukua mbele za Mungu

na kuniweka mbali na ushawishi wa Shetani, ili nisije tena nikamtumikia Shetani.

4

Maisha yangu hapa duniani yamo chini ya himaya ya Shetani,

na isingekuwa huduma na ulinzi na adabu ya Mungu na hukumu Yake,

ningeliishi daima chini ya himaya ya Shetani,

na, zaidi ya hayo, singekuwa na nafasi au njia ya kuishi kwa kudhihirisha maisha yenye maana.

Ni wakati tu ambapo adabu ya Mungu na hukumu kamwe hainiachi,

ndio nitakapokuwa na uwezo wa kutakaswa na Mungu.

Ni kwa maneno makali na tabia ya haki ya Mungu,

na hukumu kuu ya Mungu, ndipo nimepata ulinzi mkuu, na kuishi katika mwanga, na kupokea baraka za Mungu.

Ni adabu ya Mungu na hukumu Yake ndiyo iliyoniokoa,

na maisha yangu hayawezi kutengwa kutoka kwenye adabu na hukumu ya Mungu.

Kuwa na uwezo wa kutakaswa, na kujiweka huru kutokana na Shetani,

na kuishi chini ya utawala wa Mungu—hii ndiyo baraka kubwa zaidi katika maisha yangu leo.

Ni adabu ya Mungu na hukumu Yake ndiyo iliyoniokoa,

na maisha yangu hayawezi kutengwa kutoka kwenye adabu na hukumu ya Mungu.

Iliyotangulia:Nimeiona Haki ya Mungu

Inayofuata:Natamani Kutoa Maisha Yangu Yote kwa Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu

  1 Ni Muumba pekee anayeshiriki na binadamu mapatano ya huruma na upendo yasichovunjika. Ni Yeye pekee Anayetunza viumbe Wake wote, vuimbe Wake wote. K…

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…