552 Unaweza Kuokolewa Usipokata Tamaa juu ya Ukweli
1 Pasipo mtu kutazama matatizo yake inavyotakiwa, itaathiri ufahamu wake kumhusu Mungu. Wengine hugundua ubora wao wa tabia ni duni, au dhambi kubwa hutekelezwa. Kisha wanajikatia tamaa, wanapoteza matumaini, wasitake kuteseka kwa sababu ya ukweli. Hawatafuti kubadilisha tabia yao, wakifikiri kuwa hawajawahi kubadilika. Kwa kweli watu wengine wamebadilika, lakini wao wenyewe hawaoni hilo kabisa. Wao huangalia tu matatizo yao, na kupoteza radhi ya kushirikiana na Mungu. Hii itachelewesha kuingia kwao kwa kawaida, itaongeza mawazo yao yasiyo sahihi kumhusu Mungu. Zaidi ya hayo ina athari katika hatima yao.
2 Wanapokuwa dhaifu, watafutaji wa ukweli bado hufanya wajibu kwa uaminifu, bila kufikiria majaliwa yao. Naona mabadiliko; na ukiangalia kwa makini, utatambua kuwa sehemu ya upotovu wako imebadilika. Lakini unapotumia viwango vya juu zaidi kupima kukua kwako, licha ya kushindwa kufikia viwango hivyo vya juu, pia utakana mabadiliko ambayo umefanya—hilo ni kosa la kibinadamu.
3 Ikiwa kwa kweli unaweza kutofautisha mema na mbaya, basi chunguza mabadiliko yaliyomo ndani yako. Licha ya kuona mabadiliko yako mwenyewe, utapata njia ya kutendwa pia. Utang’amua kwamba mradi utie bidii, kuna tumaini la kuokolewa hata hivyo. Hivi sasa, Nakuambia: Wale wanaoshughulikia matatizo yao inavyotakiwa wana matumaini, na watatoka kwenye hali zao hasi. Jione kwa usahihi, usitelekeze ukweli. Umetoholewa kutoka katika katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo
Umetoholewa Kumbukumbu za Hotuba za Kristo