587 Wamebarikiwa Wale Wanaojitumia Kweli kwa Ajili ya Mungu

Leo, Ninampenda yeyote anayefanya mapenzi Yangu, yeyote anayeweza kuidhukuru mizigo Yangu, na yeyote anayeweza kutoa kila kitu chake kwa moyo wa kweli na uaminifu, na Nitampa nuru daima, kutomwacha aende mbali na Mimi. Mara nyingi Mimi husema, “Kwa wale wanaotumia rasilmali kwa dhati kwa ajili Yangu, hakika Nitakubariki sana.” “Bariki” ina maana gani? Je, unajua? Kuhusu kazi ya sasa ya Roho Mtakatifu, inaonyesha mizigo Ninayokupa. Wote wanaoweza kuubebea kanisa mzigo, ambao hujitolea kwa dhati kwa ajili Yangu, mzigo wao na moyo wao wa kweli ni baraka kutoka Kwangu. Aidha, ufunuo Wangu kwao pia ni baraka kutoka Kwangu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 82” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 586 Poteza Nafasi na Utajuta Milele

Inayofuata: 588 Inuka, Shirikiana Na Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp