276 Mfuate Mungu Daima

Naisikia sauti ya Mungu,

narudi Kwake.

Unyunyizaji wa maneno Yake nakubali.

Napitia hukumu na majaribu,

nastahimili uchungu mwingi na natakaswa.

Kutoka kwa vipingamizi na kushindwa,

Kutoka kwa mateso na uchungu,

kuchivywa mara nyingi,

nguvu katika upendo wangu kwa Mungu hupata.

Mungu ni mwenye haki sana,

uzuri uko moyoni Mwake.

Namcha ndani mwangu,

siwezi kuvumilia kuwa mbali.

Twamfuata Mungu,

tutamfuata Mungu daima.

Twakubali hukumu,

twajitahidi kuendelea, twafuta kubadilikw.

Twatupa upotovu wetu,

tabia yetu yabadilika,

mfano wa binadamu twaishi kwa kuudhihirisha.

Hukumu ya Mungu ni upendo,

ni wokovu Wake mkuu.

Wokovu Wake mkuu ni upendo.

Mwanadamu ni mavumbi, mdogo, mnyenyekevu,

lakini kuokoa kwa Mungu kunapatikana.

Tunaiishi heshima kibinadamu,

tabia yetu yabadilika.

Kupitia hukumu, kuadibu,

upendo wa Mungu uko nasi.

Mungu hufanya kazi binafsi

kutukamilisha na kutubadilisha.

Twamfuata Mungu,

tutamfuata Mungu daima.

Hakuna majadiliano ya kufanya

au uchafu ovyo.

Wajibu wetu twatimiza,

ili misheni yetu imekamilika,

ili moyo wa Mungu uridhike.

Mungu anafarijika

na roho zetu zinaweza basi

kupata starehe.

Hakuna maisha katika

kufurahia tu neema ya Mungu.

Yote ni tupu mwishowe

ukweli usipoweza kupatikana.

Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana,

kumpenda Mungu ni kwa juu sana.

Kuwa na ushuhuda mzuri kwa Mungu,

hatutajuta maishani.

Twamfuata Mungu,

tutamfuata Mungu daima.

Haijalishi jinsi ilivyo mbaya

barabara ya kwenda katika ufalme,

sitarudi nyuma licha ya

ukandamizaji na ugumu.

Maneno ya Mungu yaniongoza, yanipa imani.

Twafuata hatua za Mungu,

kufanya bidii ili tusonge mbele.

Twampenda Mungu na haturudi nyuma.

Twamfuata Mungu,

tutamfuata Mungu daima.

Katika kumwokoa wanadamu,

Anatoa kila kitu Chake.

Upendo wa Mungu washika mioyo yetu,

na hatutarudi nyuma kamwe.

Tutamfuata Mungu daima.

Iliyotangulia: 275 Wimbo wa Onyo Jema

Inayofuata: 277 Nimeamua Kumfuata Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp