20 Mafumbo Yote Yamefunuliwa

Mwenyezi Mungu wa haki—Mwenye uweza!

Kwako, hakuna kilichofichika.

Kila fumbo, milele hata milele,

ambalo hakuna mwanadamu amefichua,

Kwako ni dhahiri na wazi.

I

Hakuna haja ya kutafuta na kupapasa,

kwani nafsi Yako ni dhahiri,

Wewe ndiwe fumbo lililofichuliwa,

Wewe ndiwe Mungu Mwenyewe aishiye,

uso kwa uso na sisi,

kuiona nafsi Yako ni kuona

mafumbo yote ya ulimwengu wa kiroho.

Hakuna anayeweza kufikiria!

Uko miongoni mwetu leo,

ndani yetu, karibu sana isivyoelezeka.

Fumbo, bila mwisho!

Mwenyezi Mungu wa haki—Mwenye uweza!

Kwako, hakuna kilichofichika.

Kila fumbo, milele hata milele,

ambalo hakuna mwanadamu amefichua,

Kwako ni dhahiri na wazi.

II

Mwenyezi Mungu amekamilisha mpango Wake wa usimamizi.

Yeye ni Mfalme mshindi wa ulimwengu.

Mambo na vitu vyote vimo mikononi Mwake.

Wote wanapiga magoti kwa ibada,

wakiliita jina la Mungu wa kweli, Mwenye uweza!

Kwa maneno ya kinywa Chake, mambo yote yanafanyika.

Mwenyezi Mungu wa haki—Mwenye uweza!

Kwako, hakuna kilichofichika.

Kila fumbo, milele hata milele,

ambalo hakuna mwanadamu amefichua,

Kwako ni dhahiri na wazi.

Mwenyezi Mungu wa haki—Mwenye uweza!

Kwako, hakuna kilichofichika.

Kila fumbo, milele hata milele,

ambalo hakuna mwanadamu amefichua,

Kwako ni dhahiri na wazi.

whoa, ambalo hakuna mwanadamu amefichua,

Kwako ni dhahiri na wazi.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 47” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 19 Vitu Vyote Viko Mikononi Mwa Mungu

Inayofuata: 21 Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

273 Upendo Safi Bila Dosari

1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au...

115 Nimeuona Upendo wa Mungu

1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako,...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki