45 Binadamu Wote Wanakuja Kumwabudu Mungu

1

Umeme unaangaza kutoka Mashariki kwenda Magharibi.

Kristo wa siku za mwisho yuko hapa kutekeleza kazi Yake nchini China.

Mungu ameonyesha ukweli, na nuru ya kweli imeonekana.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

2

Watu wote wanatamani, wanatafuta nuru.

Na wateule wa Mungu wanakuja mbele ya kiti Chake cha enzi.

Tunamwabudu Mwenyezi Mungu, tunaanguka na kusujudu mbele Zake, Yule aliyejazwa na mamlaka na utukufu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

3

Sasa tunasikiliza sauti ya Mungu, kuuona uso Wake mtukufu.

Tunaweza kushuhudia vitu Anavyofanya.

Yeye humshinda na kumtakasa mwanadamu kwa maneno.

Watu wote wanainama na kumwabudu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

4

Tunashuhudia hekima na nguvu za Mungu.

Maneno ya Mungu hufanyiza kikundi cha washindi.

Na tunachukia kutoka katika maneno Yake.

Ni vigumu sana kuyafahamu lakini yanatupa furaha.

Tumerudi katika nuru.

Tunakuja kumwabudu Mungu.

Tunaijua tabia Yake.

Kwa hivyo tunasifu uzuri wa haki ya Mungu, na tunasifu uzuri wa utakatifu wa Mungu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Mungu yuko hapa kufanya kazi kati ya watu, na binadamu wote waja kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu.

Iliyotangulia: 44 Anga Hapa ni Samawati Sana

Inayofuata: 46 Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki