178 Wakati wa Kuachana

1

Ndugu wakusanyika pamoja na wana furaha sana kushiriki juu ya maneno ya Mungu.

Lakini mateso ya CCP yanamaanisha kwamba daima tumo hatarini mwa kukamatwa kwenye mikutano.

Tunacheza na kuimba kwa uangalifu, tukiogopa kugunduliwa.

Tunasoma maneno ya Mungu na kufanya ushirika juu ya sentensi chache, kisha tunaomba kwa haraka na kuitamatisha mikutano yetu.

Tunapoachana, hatujui kama tutapata nafasi ya kuonana tena.

Ndugu, ombeni na mumtegemee Mungu zaidi mnaposafiri kila mahali kutekeleza wajibu wenu.

Haijalishi jinsi njia ilivyo ngumu, tukiwa na Mungu kama rafiki wetu hatuko peke yetu.

Tunapitia unyanyasaji, shida na usafishaji, ni jambo la thamani kuwa na Mungu kando yetu.

2

Katika kumshuhudia Mungu katika dunia hii ovu, jitunze sana.

Tukiwa na neno la Mungu kama mwenzi wetu, tutakuwa na nguvu kwa kuelewa ukweli.

Tumeng’amua kiini kiovu cha Shetani, na tunalichukia joka kubwa jekundu kwa uchungu.

Mwache Shetani kabisa, ili katika ukweli tuweze kumpenda Mungu na kumtii Mungu.

Mtegemee Mungu ili kuupita ushawishi wa giza, alfajiri inaonekana mbele ya macho yetu.

Tunaombeana na kupendana, na mioyo yetu ina amani.

Tunatazamia kuungana kwetu tena ufalme utakapotimia, na kisha tutaishi pamoja milele.

Tunatazamia kuungana kwetu tena ufalme utakapotimia, na kisha tutaishi pamoja milele.

Iliyotangulia: 174 Mfuate Mungu kwa Karibu

Inayofuata: 179 Kuinuka Katikati ya Giza na Dhuluma

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp