451 Kazi ya Roho Mtakatifu ni ya Kawaida na ya Vitendo

1 Kazi yote ya Roho Mtakatifu ni ya kawaida, na halisi. Usomapo maneno ya Mungu na kuomba, ndani unang’aa na kuwa imara, dunia ya nje haiwezi kuhitilafiana na wewe, ndani unakuwa radhi kumpenda Mungu, uko radhi kushughulika na mambo chanya, na unachukia dunia potovu; huku ni kuishi ndani ya Mungu. Si kama watu wasemavyo, kufurahia kupindukia—maneno kama hayo si halisi. Leo, kila kitu kinapaswa kuanzia kwa uhalisi. Kila kitu ambacho Mungu anafanya ni halisi.

2 Katika matukio unayoyapitia, unapaswa kuwa makini kumjua Mungu kweli, na kuzitafuta nyayo za kazi ya Mungu na namna ambazo Roho Mtakatifu anawagusa na kuwapa watu nuru. Ikiwa unakula na kunywa maneno ya Mungu, na kuomba, na kushirikiana kwa njia iliyo halisi zaidi, kuchukua kilichokuwa kizuri zama zilizopita, na kukataa kilichokuwa kibaya kama Petro, ukisikiliza na masikio yako na kuangalia na macho yako, na kuomba mara kwa mara na kutafakari moyoni mwako, na kufanya lolote uwezalo kushirikiana na kazi ya Mungu, basi kwa hakika Mungu atakuongoza.

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kujua Uhalisi” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 450 Umeingia Katika Njia Sahihi ya Kumwamini Mungu?

Inayofuata: 452 Kanuni ya Kazi Ya Roho Mtakatifu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp