617 Kumbusho la Mungu kwa Mwanadamu

1 Mungu huwainua masikini kutoka mavumbini, ambako wanyenyekevu wanainuliwa. Mimi nitatumia hekima Yangu katika hali zake zote kulitawala kanisa la watu wote, kutawala mataifa yote na watu wa makabila yote, ili wao wote wawe ndani Yangu, na ili nyote katika kanisa muweze kunitii. Wale ambao hawakutii kabla lazima sasa wawe watiifu mbele Yangu, ni lazima watiiane, wapokeane wao kwa wao, wawe na maisha yanayohusiana, na wapendane, wote wakifaidi kwa weledi wa wenzao katika sehemu ambazo kila mmoja ana udhaifu, wakihudumu kwa uratibu. Kwa njia hii kanisa litajengwa, na Shetani hatakuwa na nafasi ya kuwatumia watu. Ni hapo tu ambapo mpango Wangu wa usimamizi hautakuwa umeshindwa.

2 Acha Niwape kumbusho jingine hapa. Usiruhusu kutoelewana kuzuke ndani yako kwa sababu mtu fulani ni wa namna fulani, au alitenda mambo kwa njia fulani, likikuacha uwe mtu wa kufifia katika roho. Mimi ninavyoona, hili halifai, na ni kitu bure. Je, Yule unayemwamini si Mungu? Siyo mtu fulani. Shughuli si za aina moja. Kuna mwili mmoja. Kila mmoja hufanya kazi yake, kila mmoja kwa nafasi yake na kufanya kadiri ya uwezo wake—kila cheche ya shauku mwako wa mwanga—kutafuta ukomavu katika maisha. Ni hivyo ndivyo nitakavyoridhika.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 21” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 616 Kanuni Mbili Ambazo Viongozi na Wafanyakazi Lazima Waelewe

Inayofuata: 618 Hudumu Jinsi walivyofanya Waisraeli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp