98 Upendo wa Mungu Utukuke Milele na Milele

1

Ni nini Unachouliza unapostahimili aibu kubwa?

Ni nani Unayemfanyia kazi na kujali?

Ukiharakisha hapa na pale kutekeleza mapenzi ya Mungu,

Unafikiria tu kuhusu kazi hii.

Katika pango la chui mkubwa, Unaonyesha ukweli kumwokoa mwanadamu,

kwa kimya ukistahimili kukataliwa na kashfa.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

2

Kwa unyenyekevu, kwa kujificha, ukinena na kufanya kazi,

Hujigambi Mwenyewe kamwe.

Mfano kwa watu, Unateseka pamoja nao,

ukionja uchungu kati ya mwanadamu bila kulalamika ama kujuta.

Unatoa njia ya uzima wa milele kwa binadamu.

Maneno Yako na kazi vinafichua upendo.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

3

Ili kusafisha na kuokoa mwanadamu Wewe umevumilia uchungu wote na ukalipa kila gharama.

Unajali kuhusu maisha ya mwanadamu.

Wewe unafanya juhudi za bidii

hadi moyo Wako, moyo Wako unawachwa ukiwa vipande.

Wewe umepitia aibu kubwa, kuwachwa na enzi.

Wewe umepitia ugumu mkubwa kuokoa mwanadamu.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

4

Mwanadamu ana kiburi na uasi, anakuumiza Wewe mara nyingi.

Kwa subira na uvumilivu, Wewe unafanya yote uwezayo kumwokoa yeye.

Bila mahali pa kupumzisha kichwa Chako, bado unamjali mwanadamu.

Maneno Yako yanawanyunyizia na kuwalisha watu,

yakiwahimiza tena na tena,

ili tu mwanadamu apate uzima na awe na hatima nzuri.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

Ndiyo, upendo Wako utukuke, Milele na milele, milele na milele.

Iliyotangulia: 97 Mungu Amekuwa Akifanya Kazi Hadi Sasa, Lakini Kwa Nini Bado Huelewi?

Inayofuata: 99 Upendo wa Kweli Miongoni mwa Binadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp