120 Upendo wa Mungu Utakuwa Kati Yetu Daima

1

Kutoka mbali, karibu, tukiinuliwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu,

twakutana mbele za Mungu, twafurahia upendo Wake.

Mungu ametuongoza katika enzi,

tumevumilia ugumu, uchungu kufika hapa.

Mbingu, dunia zote zalaki kuja kwa Mungu.

Vitu vyote vinashangilia na vyote vinamsifu.

Tunaithamini leo,

upendo wa Mungu daima upo kati yetu.

Tukipendana,

sisi siku zote tumeungana pamoja.

2

Twaongozwa hadi katika Enzi ya Ufalme.

Maneno ya Mungu huusisimua upendo wetu kwa wote.

Upendo wa Mungu sasa watuunganisha karibu;

kuishi katika maneno Yake kwazinganisha roho zetu.

Hakuna maneno bora kuliko mengi;

upendo wa kimya waileta mioyo yetu karibu.

Tunathamini leo,

upendo wa Mungu daima upo kati yetu.

Tukipendana,

sisi siku zote tumeungana pamoja.

3

Twaitoa mioyo yetu kwa lengo letu la pamoja

kukamilisha agizo la Mungu.

Katika upendo, tuko moyo kwa moyo, mkono kwa mkono.

Katika maneno ya Mungu, twasonga mbele kwa ujasiri.

Tumeacha fikira, upendeleo, ibada.

Vyoto vya zamani, si rafiki yetu tena.

Tunathamini leo,

upendo wa Mungu daima upo kati yetu.

Tukipendana,

sisi siku zote tumeungana pamoja.

4

Sote ni jamaa, ndugu,

watangulizi katika enzi zote.

Kuungana kwa leo kumeshindwa kishindo.

Ili kukutana kesho, twaachana sasa.

Machozi ya joto yatiririka, urafiki wetu ni mpana, mrefu.

Uchu waibuka, shauku yetu yapata sauti.

Tunathamini leo,

upendo wa Mungu daima upo kati yetu.

Tukipendana,

sisi siku zote tumeungana pamoja.

Iliyotangulia: 119 Ni Furaha Kuu Sana Kuwa Mtu Mwaminifu

Inayofuata: 121 Mfano wa Mtu Ampendaye Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp