107 Ni Furaha Kuu Sana Kuwa Mtu Mwaminifu

1

Kuelewa ukweli kunaiweka huru roho yangu na kunifanya niwe na furaha.

Nimejawa na imani katika neno la Mungu bila shaka.

Bila uhasi na kamwe kutorudi nyuma ama kukata tamaa.

Mwaminifu katika wajibu wangu, mimi si mtumwa wa mwili.

Ingawa kimo changu ni cha chini, nina moyo mwaminifu.

Nafuata kanuni, nitayaridhisha mapenzi ya Mungu.

Wazi na mnyoofu, bila uongo, kuishi katika mwangaza.

Kutenda ukweli, kumtii Mungu, mtu mwaminifu.

Watu waaminifu, njooni haraka, tuongee kwa dhati.

Watu wote wanaompenda Mungu, njooni pamoja na kuungana kama marafiki wazuri.

Watu wote wanaopenda ukweli ni ndugu.

Enyi watu walio na furaha, njoo muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu.

2

Kula na kunywa maneno ya Mungu,

kushiriki ukweli, nina furaha kubwa zaidi.

Mara nyingi kuomba na kuwasiliana na Mungu

kunaniletea furaha kubwa zaidi.

Kujua ukweli kunanipa njia ya kutenda,

mimi siko chini ya vizuizi tena.

Nina baraka kuwa na Mungu nami, kuishi katika maneno ya Mungu.

Kutupa pingu zote za mwili ni neema ya Mungu.

Watu waaminifu, njooni haraka, tuongee kwa dhati.

Watu wote wanaompenda Mungu, njooni pamoja na kuungana kama marafiki wazuri.

Watu wote wanaopenda ukweli ni ndugu.

Enyi watu walio na furaha, njoo muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu.

Ni furaha kuu mno kupendana, ni furaha kuu mno kufanya kazi kwa amani.

Tunayaishi maneno ya Mungu, tunafurahia kazi ya Roho.

Maisha yetu hukua tunapoingia katika uhalisi wa ukweli.

Watu waaminifu, njooni haraka, tuongee kwa dhati.

Watu wote wanaompenda Mungu, njooni pamoja na kuungana kama marafiki wazuri.

Watu wote wanaopenda ukweli ni ndugu.

Enyi watu walio na furaha, njoo muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu.

Watu waaminifu, njooni haraka, tuongee kwa dhati.

Watu wote wanaompenda Mungu, njooni pamoja na kuungana kama marafiki wazuri.

Watu wote wanaopenda ukweli ni ndugu.

Enyi watu walio na furaha, njoo muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu.

Iliyotangulia: 106 Upendo Wangu kwa Mungu Hautabadilika Kamwe

Inayofuata: 108 Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

83 Upendo wa Kweli

1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha...

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki