11 Ufalme wa Mungu Umekuja Duniani

1

Umeme umeangaza kutoka Mashariki.

Mwana wa Adamu ameonekana katika mwili,

kuonyesha ukweli na kuwaokoa watu wote.

Ufalme wa Mungu umekuja duniani.

Mungu, aliyengojewa katika enzi zote na kutafutwa wakati wote,

Alionekana Mashariki, Akiangaza duniani.

Jua la haki, tumaini la binadamu,

naam, Mungu ameonekana Mashariki.

Mungu uliyemtamani sana, Mungu niliyemtumainia,

Amekuwa mwili na kutuonekania,

Akionyesha ukweli na kuleta nuru.

Mungu amekuja, sasa Amekuwa Mfalme.

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa ulimwengu sasa ni ufalme wa Kristo!

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

2

Mungu mwenye haki na mwenye uadhama, upendo, na rehema,

katika mwili sasa Amejificha kwa unyenyekevu kati ya wanadamu.

Ameonyesha ukweli kuhukumu, kutakasa na kuwakamilisha watu.

Ametengeneza kikundi cha washindi huko Uchina.

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

3

Unampenda Mungu moyoni mwako, nampenda Mungu moyoni mwangu.

Amemletea mwanadamu njia ya uzima wa milele.

Watu wote wanatii, mataifa yote yanaabudu.

Ufalme wa Mungu umekuja duniani!

Tarumbeta takatifu imepigwa, haki ya Mungu kafichuliwa.

Uovu umetakaswa, maafa yameuharibu ufalme wa Shetani.

Kisha, shangwe! Watu wote washangilia.

Ufalme wa Milenia umemwonekania mwanadamu.

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Mataifa yote yanaabudu, utukuzuji umeijaza dunia.

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Kwa maana ufalme wa dunia sasa ni ufalme wa Kristo!

Iliyotangulia: 10 Ufalme Wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu

Inayofuata: 13 Mungu Mmoja wa Kweli Ameonekana katika Mwili

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp