Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

208 Mungu Anafika Kati Yetu kwa Kimya

Mungu yuko kimya, na hajawahi kutokea kwetu kamwe,

ilhali kazi Yake haijakoma kamwe.

Anatazama juu ya nchi zote, na anaamuru vitu vyote,

na anaangalia maneno yote na matendo ya mwanadamu.

Usimamizi Wake unatekelezwa kwa hatua na kulingana na mpango Wake.

Unaendelea kwa upole, bila matokeo ya kutia shauku,

ilhali nyayo Zake zinasonga karibu na binadamu,

na kiti Chake cha hukumu kinawekwa ulimwenguni kwa kasi ya umeme,

mara moja kufuatwa na kushuka kwa kiti Chake cha enzi kati yetu.

Ni mandhari ya uadhama ulioje, ufafanuzi mkuu na rasmi mno.

Kama njiwa, na kama simba angurumaye, Roho anafika kati yetu sote.

Yeye ni mwenye hekima, Yeye ni mwenye haki na uadhama,

Anafika kimya kati yetu akiwa na mamlaka

na amejawa na upendo na huruma, na amejawa na upendo na huruma.

Umetoholewa kutoka katika “Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wanaomwacha Kristo wa Siku za Mwisho Wataadhibiwa Milele

Inayofuata:Unaifuata Kazi ya Sasa ya Mungu?

Maudhui Yanayohusiana