589 Mungu Aliwaandalia Wanadamu Kila Kitu Kitambo

1 Heri wale walio waaminifu Kwangu; yaani, heri wao ambao kweli wananitambua kama Mungu Mwenyewe ambaye huchunguza kwa karibu moyo wa mwanadamu. Hakika Nitazidisha baraka zenu, Nikiwawezesha kufurahia baraka nzuri katika ufalme Wangu milele. Hii pia ni njia yenye ufanisi zaidi ya kumwaibisha Shetani. Hata hivyo, usiwe na pupa au wasiwasi sana, kuna muda uliotengwa Nami kwa ajili ya kila jambo. Ikiwa muda Wangu Nilioamua kabla bado haujafika, hata kama ni sekunde kabla, Sitatenda. Mimi hutenda kwa usahihi na kulingana na mpangilio, si kutenda bila mantiki. Kwa wanadamu Mimi sina wasiwasi, Niko thabiti kama Mlima Tai—lakini hujui kwamba Mimi ni Mwenyezi Mungu Mwenyewe? Usiwe na pupa sana, yote yako mikononi Mwangu.

2 Yote yameandaliwa kitambo, yote yanangoja kwa hamu kunitumikia. Ulimwengu dunia wote unaonekana kuwa na vurugu kutoka nje, lakini kulingana na mtazamo Wangu ni wenye utaratibu. Kile Nilichokuandalia wewe ni kwa ajili yako tu kufurahia, unatambua hili? Msijihanikize katika usimamizi Wangu, Nitawaacha watu wote na mataifa yote yaone uweza Wangu kutoka kwa vitendo Vyangu, walibariki na kulisifu jina Langu takatifu kwa ajili ya matendo Yangu ya ajabu. Kwa sababu Nilisema kuwa hakuna chochote Ninachofanya kisicho bila msingi, lakini kila kitu kimejazwa na hekima Yangu na nguvu Zangu, kimejazwa na haki na uadhama Wangu, na hata zaidi ghadhabu Yangu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 80” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 588 Inuka, Shirikiana Na Mungu

Inayofuata: 590 Lazima Utafute Mapenzi ya Mungu Katika Vitu Vyote

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp