52 Mungu Yuko Kati Yetu

Tumetoka kote ulimwenguni;

mbele ya kiti cha enzi cha Mungu twaabudu.

Tunakimiwa na neno la Mungu

na kuhudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo.

Kristo wa siku za mwisho Atuongoza

katika vita dhidi ya Shetani.

Njia imejaa milima na mabonde

na tunastahimili dhiki.

Kwa kuwa na maneno ya Mungu yakituongoza

na upendo Wake kando yetu,

tunazishinda nguvu za giza

na kuendelea mbele tunaendeleza vita vyetu.

Tunapoona nguvu na hekima ya Mungu,

imani yetu inategemezwa.

Tunamshuhudia Mungu;

tuionapo tabasamu Lake kunaifurahisha mioyo yetu.

Tukiwa na Mungu kando yetu,

maisha katika ufalme ni furaha.

Kulipa upendo wa Mungu,

tutachukua mizigo mizito.

Ili maneno ya Mungu yaenee duniani,

sisi ndugu twatoa kila kitu chetu

kutekeleza mapenzi ya Mungu,

kutekeleza mapenzi ya Mungu.

Kufuatilia ukweli na kutakaswa

na kupata kukamilishwa na Mungu,

Tunakubali hukumu, majaribu,

twakubali usafishaji wa maneno ya Mungu

Tukiwa dhaifu, tunasaidiana,

na kila mmoja twahimizana.

Tunashiriki utamu na kushiriki furaha

ya kazi ya Roho Mtakatifu.

Kuelewa kwaziunganisha roho zetu,

hatuhitaji maneno yoyote zaidi.

Upendo wa Mungu watufunga kabisa.

Maneno Yake yanachanganya mioyo yetu pamoja.

Tukiwa na Mungu kando yetu,

maisha katika ufalme ni furaha.

Kulipa upendo wa Mungu,

tutachukua mizigo mizito.

Ili maneno ya Mungu yaenee duniani,

sisi ndugu twatoa kila kitu chetu

kutekeleza mapenzi ya Mungu,

kutekeleza mapenzi ya Mungu.

Tukifanya kazi kwa pamoja,

twaomba na kutiana moyo.

Kwenda katika kesho nzuri Mungu atuongoza.

Twatafuta kumpenda Mungu,

hatuwezi kuacha kupambana

kabla ya kuacha kuendelea kuishi.

Tutaweka kuhisi kwa Mungu mawazoni

na tuwe waaminifu katika kumshuhudia.

Tukiwa na Mungu kando yetu,

maisha katika ufalme ni furaha.

Kulipa upendo wa Mungu,

tutachukua mizigo mizito.

Ili maneno ya Mungu yaenee duniani,

sisi ndugu twatoa kila kitu chetu

kutekeleza mapenzi ya Mungu,

kutekeleza mapenzi ya Mungu.

Iliyotangulia: 51 Maisha yetu Ni Furaha Isiyo na Mwisho

Inayofuata: 53 Kumrudia Mungu ni Furaha ya Kweli

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp