202 Mungu Mwenye Mwili Ni wa Maana Sana Kwako

1

Kazi yote ya Mungu katika siku za mwisho

inafanywa kupitia huyu mwanadamu wa kawaida.

Atakupa kila kitu,

na juu ya hayo, Anaweza kuamua kila kitu kukuhusu.

Mtu kama huyu anaweza kuwa mnavyoamini:

mtu wa kawaida sana kiasi cha kutostahili kutajwa?

Ukweli Wake hujatosha kuwashawishi kabisa?

Ushuhuda wa vitendo Vyake hujatosha kuwashawishi kabisa?

Ama ni kuwa njia Anayowaongozea haistahili nyinyi kuifuata?

Ni nini kinachowasababisha kumchukia

na kumtupilia mbali na kumwepuka?

Kwa sababu ya kuja kwa Mungu mwenye mwili kwa mara ya pili,

Mungu amewasamehe na kuwaonyesha huruma.

Bila kujali, maneno ambayo lazima Niwaachie mwishowe ni haya:

Huyu mwanadamu wa kawaida, ambaye ni Mungu mwenye mwili,

ni wa umuhimu sana kwenu.

Hili ndilo jambo kubwa ambalo Mungu tayari Amefanya miongoni mwa wanadamu.

2

Ni Yeye anayeonyesha ukweli,

ni Yeye anayetoa ukweli,

na ni Yeye anayewawezesha kuwa na njia ya kusafiri.

Je, bado huelewi?

Inaweza kuwa kwamba bado hamwezi pata

chembe cha kazi ya Mungu ndani ya ukweli huu?

Bila kazi ya Yesu,

mwanadamu hangeweza kushuka chini kutoka msalabani,

lakini bila kupata mwili siku hii,

wale wanaoshuka chini kutoka msalabani

hawangewahi kusifiwa na Mungu

ama kuingia katika enzi mpya.

Kwa sababu ya kuja kwa Mungu mwenye mwili kwa mara ya pili,

Mungu amewasamehe na kuwaonyesha huruma.

Bila kujali, maneno ambayo lazima Niwaachie mwishowe ni haya:

Huyu mwanadamu wa kawaida, ambaye ni Mungu mwenye mwili,

ni wa umuhimu sana kwenu.

Hili ndilo jambo kubwa ambalo Mungu tayari Amefanya miongoni mwa wanadamu.

3

Bila kuja kwa huyu mwanadamu wa kawaida, basi hamngeweza kuwa na hii fursa

ama kustahiki kuona uso wa ukweli wa Mungu,

kwani nyinyi nyote ni wale

ambao wangepaswa kuangamizwa kitambo sana.

Kwa sababu ya kuja kwa Mungu mwenye mwili kwa mara ya pili,

Mungu amewasamehe na kuwaonyesha huruma.

Bila kujali, maneno ambayo lazima Niwaachie mwishowe ni haya:

Huyu mwanadamu wa kawaida, ambaye ni Mungu mwenye mwili,

ni wa umuhimu sana kwenu.

Kwa sababu ya kuja kwa Mungu mwenye mwili kwa mara ya pili,

Mungu amewasamehe na kuwaonyesha huruma.

Bila kujali, maneno ambayo lazima Niwaachie mwishowe ni haya:

Huyu mwanadamu wa kawaida, ambaye ni Mungu mwenye mwili,

ni wa umuhimu sana kwenu.

Hili ndilo jambo kubwa ambalo Mungu tayari Amefanya miongoni mwa wanadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Je, Ulikuwa Unajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 201 Mungu Mwenye Mwili ni Chemichemi ya Uzima

Inayofuata: 203 Kukataa Kupata Mwili kwa Mungu ni Kuwa Adui wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

125 Nimeuona Upendo wa Mungu

1Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda.Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi!Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako,...

901 Mradi tu Usimwache Mungu

Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki